How many sex partners have you had?

Poriposha

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
303
68
"What's your number? According to a survey of adults aged 20 to 59, women have an average of four sex partners during their lifetime; men have an average of seven. Source: National Center for Health Statistics"
Nilikuwa naperuzi net nikakutana na hako katopic...so ile kauli ya kuwa wanawake wanaupendo wa kutoka moyoni, sasa inakuwaje bado wanagongesha mzigo nje ya ndoa/mahusiano...
 
mie nina wawili tu eti hadi sasa, sijui nitafikisha saba lini ngoja niongeze spidi maana umri unaelekea jioni
 
sikumbuki idadi kamili lakini ni kama 13 hivi..... Bado wale wa One night stand
 
"What's your number? According to a survey of adults aged 20 to 59, women have an average of four sex partners during their lifetime; men have an average of seven. Source: National Center for Health Statistics"
Nilikuwa naperuzi net nikakutana na hako katopic...so ile kauli ya kuwa wanawake wanaupendo wa kutoka moyoni, sasa inakuwaje bado wanagongesha mzigo nje ya ndoa/mahusiano...

Vp makahaba wanahesabika?
 
hii ni sex partners au bf ? kama ni sex partner basi aibu!!! yaani ujue kuwa mzigo wako utaliwa na kwamba kwa mwanamke kusex hakuna umuhimu wa kuwepo upendo...its al physical!!!!
 
jamani sa ndo umeamua kuzila????????????
Wazungu ni waongo kupita maelezo,mleta mada anadhani siye waafrika tunafanana na hao wazungu,binafsi nishawabandua 100 and still counting. Hizo ni tafiti zinazowahusu wao zaidi yetu sisi waafrika. Nalog off
 
"What's your number? According to a survey of adults aged 20 to 59, women have an average of four sex partners during their lifetime; men have an average of seven. Source: National Center for Health Statistics"
Nilikuwa naperuzi net nikakutana na hako katopic...so ile kauli ya kuwa wanawake wanaupendo wa kutoka moyoni, sasa inakuwaje bado wanagongesha mzigo nje ya ndoa/mahusiano...

kabla sijaoa nilikuwa na wanawake Jf, twitter, hi 5, Dar hotwire, mtaani, shuleni, chuoni, mtaani, machangu, ma baaa medi, yaani vagalanti............. Najihisi simo kwenye takwimu
 
hiyo statistic fake! kama umeshaangalia ili movie"whats your number"kuna mahali yule sister anasema kama mwanamke ameshatembea na wanaume zaidi ya ishirini basi huyu mwanamke hata kuja kuolewa!je kuna ukweli mi naona ukweli upo! wewe je!
 
"What's your number? According to a survey of adults aged 20 to 59, women have an average of four sex partners during their lifetime; men have an average of seven. Source: National Center for Health Statistics"
Nilikuwa naperuzi net nikakutana na hako katopic...so ile kauli ya kuwa wanawake wanaupendo wa kutoka moyoni, sasa inakuwaje bado wanagongesha mzigo nje ya ndoa/mahusiano...

kuna siku niliktwa napiga hesabu, bahati mbaya nilishia 34 kwakuwa nilipata dharura. Nilitegemea kujaza mabasi mawili ya abiria.
 
Wabongo hapa mwanamme mmoja anaweza kujaza Dar Express 2, Coster moja na Hiace moja kwa idadi ya wanawake aliotembea nao! Khaaaa! Kuna watu wanatisha aisee!!
 
Hiv watu mnaona misifa kuwa na sex partiners wengi? Ngoma inawaacha kweli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom