How do you Sleep with your Partner??

shukran my dear,,,, you are welcome,,, nahisi nilikuona sehemu nadhani kwenye jokes kule...but u A also a verry kind psn.. U a welcome my dear..
nilham unamambo wewe! Ila yanafurahisha na pia yanafundisha,nakupa thanx.
 
Chagua hapa

images
nimekupata my friend masanilo we kweli kiboko. Hongera mzee wa mchambawima,tusalimie mwanakwerekwe na mwembe dezo,bila kusahau mwembemakumbi,zenj naskia kuna raaaaaha,wenyewe wasema zenj ni njema atakae naaje.
 
shukran my dear,,,, you are welcome,,, nahisi nilikuona sehemu nadhani kwenye jokes kule...but u also u a verry kind psn.. U a welcome my dear..
kwani nilham we ukowapi?nahic utakua tuna undugu vilee,ni PM BASI ili tupate kuwasiliana nahisi sisi nindugu tuliopoteana tu.
 
Duh!! Hii kali kwelikweli!! Nipe na style coz hizi ulizotoa zote sina!!

...Ile ya kabali ya kishkaji huku ukiunganisha shingo na miguu yote...!! anakuwa amelala kifo cha mende na kwa vile ni kabali kwapa linakuwa karibu na pua na mdomo wake (harufu nyingine ni kali na zina sumu kama CO ). .... ila kuwa makini usiue... lol
 
Back
Top Bottom