Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
- Thread starter
- #41
Wow!! Thanks kwa hiz style ya 1 na ya 2 ni BOMBA!!!
wow!! Thanks kwa hiz style ya 1 na ya 2 ni bomba!!!
leo usiku kazitumie,,,, uone mwenzio atakavyolala,,, na atakavyoupata usingizi...
nilham unamambo wewe! Ila yanafurahisha na pia yanafundisha,nakupa thanx.mh nini na wewe tena umenikimbia kuuuule mi nasubiri tuuu.... Muone vile..yale macho yake
nilham unamambo wewe! Ila yanafurahisha na pia yanafundisha,nakupa thanx.
nimekupata my friend masanilo we kweli kiboko. Hongera mzee wa mchambawima,tusalimie mwanakwerekwe na mwembe dezo,bila kusahau mwembemakumbi,zenj naskia kuna raaaaaha,wenyewe wasema zenj ni njema atakae naaje.Chagua hapa
kwani nilham we ukowapi?nahic utakua tuna undugu vilee,ni PM BASI ili tupate kuwasiliana nahisi sisi nindugu tuliopoteana tu.shukran my dear,,,, you are welcome,,, nahisi nilikuona sehemu nadhani kwenye jokes kule...but u also u a verry kind psn.. U a welcome my dear..
leo usiku kazitumie,,,, uone mwenzio atakavyolala,,, na atakavyoupata usingizi...
teh teh tehNakuchagulia hii
nikisha zi2mia kesho nakuja kukupa mambo yote yalivoendelea!!
vip una darasa la kitchen party hapo nilham??!!
Nakuchagulia hii
a a mwenzangu,,,, nilikuwa ni kiasi cha kukudokolea style tuu..
a a mwenzangu,,,, nilikuwa ni kiasi cha kukudokolea style tuu..
Duh!! Hii kali kwelikweli!! Nipe na style coz hizi ulizotoa zote sina!!