Housegirl

30.000 kubwa xanaaaaa
kama anakula
analala
na nguo nguo unamnunulia
coz unakua unakaa nae kama mwanao
mimi wangu namlipa 15,000
anaishi kama watu watoto wa hum ndani
sio unamtuuuuuma mpaka kila m2 anajua kuwa ni house girl
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom