House for sale

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Beautiful and confortable house of 3 bedrooms situated at Mbagala, close to Zakhiem self contained, lounge, dinning room. water and electricity available 24hrs. Status; Letter of offer right of occupancy. Price tshs 60mil. negotiable. call 0717114409.
 

Attachments

  • PIC01354.JPG
    PIC01354.JPG
    23.5 KB · Views: 64
  • PIC01355.JPG
    PIC01355.JPG
    28.4 KB · Views: 71
  • PIC01356.JPG
    PIC01356.JPG
    29.4 KB · Views: 71
  • PIC01357.JPG
    PIC01357.JPG
    31.4 KB · Views: 76
  • PIC01358.JPG
    PIC01358.JPG
    39.9 KB · Views: 72
  • PIC01360.JPG
    PIC01360.JPG
    42.9 KB · Views: 73
  • PIC01361.JPG
    PIC01361.JPG
    21.6 KB · Views: 78
  • PIC01362.JPG
    PIC01362.JPG
    20.3 KB · Views: 70
  • PIC01366.JPG
    PIC01366.JPG
    23.2 KB · Views: 57
  • PIC01370.JPG
    PIC01370.JPG
    48.5 KB · Views: 61
mkuu ni pamoja na furniture au?.......is it bomb safe?
 
sio pamoja na samani. Nyumba ipo mbali sana kutoka kwenye mabomu
 
sio pamoja na samani. Nyumba ipo mbali sana kutoka kwenye mabomu
kwa sasa mbagala sio deal,ungesubiri kidogo watu tusahau.Compesation watu wamepewa kiduchu....sasa mtu ulipe 60m then uje ulipukiwe GOT wakulipe 5m,hapo si kuchemsha mkuu.subiri kidogo papoe.
 
kwa sasa mbagala sio deal,ungesubiri kidogo watu tusahau.Compesation watu wamepewa kiduchu....sasa mtu ulipe 60m then uje ulipukiwe GOT wakulipe 5m,hapo si kuchemsha mkuu.subiri kidogo papoe.

hahahahahah, kweli umeamua kumaliza kabisa.
 
milioni 60 ni nyingi hata kwa kuanzia, kwa sababu hiyo nyumba ni old fasion na location inamatter, anganzia kwenye hata 40m ili ishuke kidogo, kwa sababu hayo madirisha yote ni ya kubadilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom