yaani mm ni ukawa ila lowasa weakness yake ni uwezo wa kuongea ambacho ni kitu mhimu saana kwenye uwanja wa siasa
ila uzuri na magufuri hawezi kuongea pia yaani
akianza mpaka anamaliza unadhani alikua anafanya utangulizim kumbe kasha maliza
Leo Mbeya nimesikiliza Mgombea wa UKAWA ndugu Lowassa suala la kuhutubia hajajaliwa,maana hadi anamaliza bado mazingira hajayashika kihotuba,wamsaidie sana umati Kama ule ulihitaji hotuba ya kisawa SAWA,nashauri asaidiwe