Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

Kuhutubia sio utendaji mkuu,na wengi sana akiwa mwongeaji sana kazi si sana,unaweza ukawa domo zege lkn fursa ikitokea unamaluza,amka mkuu
 
maboresho yanatakiwa kufanywa na Lowasa anapoongea na hadhira kubwa kama hizi anazokutana nazo akiwa UKAWA. Anaoendanao wanapiga made nae anatakiwa kwenda na kasi ile
 
Mhhh utendaji bila kujua hoja atatendaje,hadi Watu wa kawaida Leo Mkuu Mbeya nilikuwepo wakaanza kusema hee Huyu baba mwe kuongea na kupanga Mawazo hajui,nikweli Kwamba katika eneo la kujieleza Kwa SASA kashuka nakumbuka alipokuwa akijiuzuru ile speech Yake ilikuwa na Nguvu,lakini SASA ukilinganisha na magufuli kazidiwa mbaaaali
 
Back
Top Bottom