Wapi nimesema Mbowe hata pisha wengine 2010? Nimesema in general viongozi hawaachii ngazi kiurahisi na wala sikum taja Mbowe. The statement I supported ni kwamba hakuna utamaduni kwenye vyama vingi vya upinzani kupishana ndiyo maana the same people wana gombea kila siku. On the other hand nikasema Zitto bado ana time. Ni kama as if ume chukulia swala personally duh.
Umesema ukweli ndugu. Mbowe won't step down. Tanzania tumeona wapi watu wakiachia ngazi kwa hiari? Nchi za wenzetu chama kiki shindwa m/kiti/mgombea ana step down lakini siyo kwetu. Wale wanao gombea tokea 1995 ni wale wale. Tatizo upinzani kila mtu anataka kuwa yeye wa kuiangusha CCM kwa ajili ya sifa. Lakini Zitto is young he has time.
Sasa ulikuwa na maana gani kusema
This is more of a statement of fact than anything else.
OOOh my God, what a speech!
Kwa kweli hotuba ni nzuri sana, Lugha yake ni nyepesi na ya moja kwa moja na imeandaliwa. Hotuba hii ina mvuto na imetawaliwa na hoja bila kusahau data.
Nacho shangaa ni njisi ambavyo mpaka sasa thanks zimekuwa chache sana (9)kwa hotuba nzuri kama hii na watu takribani 400 wameiona.
ZITTO should take Kikwete on 2010. He is gifted and modern leader we need. Not lossers who bomb wananchi and dont even scratch their heads. I wish i was there to boo them mafisadi ccm and vote for upinzani. We need more strong leaders like him. Tanzania is turning around, we will not swallow their threat thru police to deter our
constitutional rights. Keep up good work Zitto.
Usimuwahishe.... Zitto is inspirational and gifted Tanzanian, lakini nadhani Presidency ni institution na sio person!!! Mwachemwache akomae kidogo, urais hautaki haraka
Tusipoteze mapema, watu wakaanza kuzoea zitto kushindwa
Well done Zitto aka D*****[/QUOTE]
Yote sawa ila katika red umepitiliza kidogo na hujamtendea haki, ule ulikuwa msimamo wake tuu,hakuna haja ya kumkejeli kwa jina hilo.
Tumpe support anapofanya mazuri tusimchanganyie na yanayomvunja moyo. Sasa hivi tunao vijana wachache wanaofanya ayafanyayo

mkuu asante kulisema hilo, kumbuka pia wanadamu wote wana mapungufu. Pale anapo tenda jema tusitangulize pungufu mbalo pi tulisha liemea vya kutosha!. Naamin amejifunza na yupo tayari kuendeleza mpambano. Bravo Zitto!