Umenisikia MIMI nikiruka ruka na KUELEZA UIMARA wa KABILA au DINI yangu? HATA KIDOGO - TAFADHALi SANA JARIBU kuelewa MY CONCERNS and not TWISTING DAMN WORDS, PLEASE...
Tumefika kwenye stage hii? Yaani Unasoma Hii article to PLEASE your LEFT LEANING MIND? WOW
Kwahiyo Unaona Individualism works in AFRICAN TYPE of DEMOCRACY? You don't need to sacrifice...
ZITTO anasema Wananchi wakimwogoma KIONGOZI wao ni UDIKTETA; lakini KIONGOZI akiwaogopa Wananchi ni DEMOKRASIA
Sasa Inamaana Tulikuwa tunamuogopa NYERERE alikuwa ni DIKTETA? ki VIPI ?
Kwahiyo Rais tuliye naye sasa Jakaya KIKWETE hatumuogopi? ni DEMOKRASIA ya kweli ? 2010 karibia aanguke kama sio MIZENGWE na CUF ku-campaign achaguliwe sababu wale wa CHADEMA walionekana kama wanashinda hivyo CUF itumie nguvu za DINI kuhakikisha KIKWETE anachaguliwa....
So, was that a DEMOCRACY ?
Ndio Maana nakuambia vitu vidogo vidogo kama VIKABILA DINI n,k lazima vikemewa Mapema kabla havijaota MIZIZI na kushindwa kukata hiyo MIZIZI kama NCHI ZINGINE sasa hivi ni Mapango
mbona unaruka ruka hutulii kwenye mstari? tambua unaongea name mtu mzoefu na mwenye uelewa mkubwa sihitaji maneno mengi ili nikuelewe.
je zzk amekosea nini kuongea na wapigakura wake? huo udini na ukabila si umetamalaki huko kwenu? kwanini mmekuwa watu wenye chuki na wabaguzi kwa watu tofauti na nasaba yenu? mnaogopa nn mtoto wa kigoma akishinda uenyekiti? mnafikiri missions na visions zenu hatuzijui? ukombozi UPI mnaoutafuta kwa wa tz? mnajiona super sana? fundisho laja 2015 Ngano na makapi vitatengana Katu hamtatutawala
Tanzania haiwezi kuendelea kwa sababu watanzania wengi ni malimbukeni.mbona unaruka ruka hutulii kwenye mstari? tambua unaongea name mtu mzoefu na mwenye uelewa mkubwa sihitaji maneno mengi ili nikuelewe. je zzk amekosea nini kuongea na wapigakura wake? huo udini na ukabila si umetamalaki huko kwenu? kwanini mmekuwa watu wenye chuki na wabaguzi kwa watu tofauti na nasaba yenu? mnaogopa nn mtoto wa kigoma akishinda uenyekiti? mnafikiri missions na visions zenu hatuzijui? ukombozi UPI mnaoutafuta kwa wa tz? mnajiona super sana? fundisho laja 2015 Ngano na makapi vitatengana Katu hamtatutawala
Kiongozi yeyote hata kama angekuwa na uwezo wa kuandaa hotuba nzuri namna gani na kukubalika lakini kama ni mla rushwa hafai hata bure. Kwa wanaomfahamu z it to vizuri hakika wanaona hii ni kama siku nyingine tu mnafiki kapita.
Mie sina imani na huyu zzk, na hzo picha mbona wanaccm naona wameinua mabango ya kijani? Alafu hii ziara ni ya kichama au?