Hotuba ya Zitto Kabwe - Kigoma: 21 Desemba 2013

At least hotuba yake imekuwa na hadhari zaidi na sio kiburi na majivuno yake, lakini bado, atanyooka tu, its just a matter of time...
 
zitto ndiyo anachukiwa lakini yeye hamchukiii mtu hata mmoja lakini mwisho wa ubaya ni aibu.
 
ZZK usiingie humu kinyemela-hebu kuwa brave enough ku-exchange notes na wana JF.Umeiga tabia mbaya ya wanasiasa uchwara na wanasiasa majambazi kuandaa na kugharamia 'mapokezi' yao wenyewe. How long are you going to sustain this? Are your bankrollers permanent? Grow up bimbo!

Kama hujui maana ya baadhi ya maneno ya kiingereza ni vizuri ukaangalia english dictionary kwanza.BIMBO ni neno la kuudhi linalomhusu msichana mzuri na mrembo kimwonekano lakini kichwa chake kitupu(dull or dumb).Je Zitto ni msichana au mwanamke?
 
Hongera Zito,Mboye,Dr Slaa hongera Chadema jaribuni kuka tena pamoja mchunguze mapungufu yenu kwa pamoja isijeikawa mnavurugwa na watani zenu bila kujijuwa,,,mtasababisha yale maneno yakuwa chama makini yapoteze maana mbele ya jamii iliyotumia muda na nguvu nyingi kuwaami.
 
Kuna Bango ZITTO ni Kama MANDELA ki vipi?

MANDELA habagui hatengi sio two faces hakuwa na tamaa

Sasa ZITTO baada ya huu MKUTANO wa TABORA atakwenda ARUSHA kuhutubia ?

Au ndio sasa tumeanza kama KENYA Bahati Mbaya yeye ni KABILA DOGO anaamsha watu wa Makabila Makubwa pia kugombea URAISI?

Yeye ameenda kigoma kama nyumbani, sasa wewe unataka aende Tabora, Arusha kwa nafasi ipi kama Mbunge, naibu katibu mkuu? mbona wakati anagombea ubunge haukuleta dhana ya ukabila ndugu eh! napata shida kuamini kwamba wale wote wanaomchukia ZZK kwa haki.

Inawezekana kabisa kuna agenda iliyojificha dhidi ya chuki hii against ZZK, kwa sababu hakuna kiongozi ambaye yuko perfect 100% kwa vipi ZZK yanatazamwa mapungufu yake tu na kwa wengine mazuri yao pekee? huu ni unafiki na uzandiki hautujengi kama Taifa bali unatugawa.
 
"Ni uongo kwa sababu mimi kutotaja majina haya haina maana sina majina, bali ni kwamba ninaheshimu utaratibu na nimeachia vyombo husika vikamilishe uchunguzi. Kwani mimi kama mtu binafsi nikianza kuchukua majukumu ya taasisi ninaweza kutia dosari harakati hizi muhimu na hata kupelekea mchakato mzima kuvurugika"

Sijamuelewa Zitto anapata ugumu gani kutoa majina kwa kamati halali ili kuiwezesha kufanikisha kazi yake ya kuwachukulia hatua. Nilitegemea kuwa angekuwa anaelewa kuwa huo ni wajibu wa kila raia UNLESS haiamini kamati
 
mbona unaruka ruka hutulii kwenye mstari? tambua unaongea name mtu mzoefu na mwenye uelewa mkubwa sihitaji maneno mengi ili nikuelewe.
je zzk amekosea nini kuongea na wapigakura wake? huo udini na ukabila si umetamalaki huko kwenu? kwanini mmekuwa watu wenye chuki na wabaguzi kwa watu tofauti na nasaba yenu? mnaogopa nn mtoto wa kigoma akishinda uenyekiti? mnafikiri missions na visions zenu hatuzijui? ukombozi UPI mnaoutafuta kwa wa tz? mnajiona super sana? fundisho laja 2015 Ngano na makapi vitatengana Katu hamtatutawala

wewe ni msukule kama wengine waliojazana lumumba fc,ulitaka awe m/kt CDM kwa msaada wa maccm? hilo katu halitawezekana! CDM haiwezi kuongozwa na watu wanafiki,waoga au wanaoweza kununulika! namshauri kama anataka uongozi bas aanzishe chama cha mamluki na wasaliti ili akiongoze! cdm mfukuzeni haraka huyo masalia
 

Ni wapi Amesema kuwa anataka kugombea UENYEKITI wa CHAMA? na kuwa MWENYEKITI wa CHAMA kwa CHADEMA sio TICKETI ya KUGOMBEA URAIS wa JAMHURI ya MUUNGANO wa TANZANIA

Kumbuka kuwa kila VYAMA nchini vina njia tofauti za kuteua MGOMBEA URAIS wa JAMHURI; CHAMA CHA MAPINDUZI bado kinatumia STYLE ya KICOMMUNIST ya ENZI YA KICHINA na KIRUSI ambapo WanaCHAKACHUANA na KUAMBIZANA kuwa anayefaa kuwa RAIS ni FULANI na wanaitisha MKUTANO MKUU kama GERESHA TU lakini campaign na gumzo ndogondogo zimeshapitishwa na kuhimiza ya kuwa JINA la Mwanachama fulani ni lazima awe na KURA NYINGI hivyo kupata kura za kuwa MGOMBEA URAIS

Sasa kwa CHADEMA Unajua FIKA hawana hizoFIKRA NYETI za UPENDELEO na UZANDIKI kama CCM

Sababu sasa hivi tungesha kuwa na Rais wa Jina SALIM AHMED SALIM; Kama Rais wa Jamhuri au GHARIB BILAL kama Rais wa ZANZIBAR... kama kweli kungekuwa na Demokrasia ya kweli

Na Ukiangalia CHADEMA kumchagua Dr. Slaa kugombea URAIS wakati kwa UNGWE ya 2010 alikuwa anakubalika na wananchi wengi sana;

Sasa Kwahiyo Matatizo ya CHADEMA ni tu kutompa ZITTO KABWE UENYEKITI? na kama wanamwambia ni bado kijana asubiri kidogo apate hekima kidogo is that wrong????

Haya Hakuna tatizo la kuongea na wapiga kura wake; tatizo linakuja wakati HOW HE REPRESENTS himself at that MEETING... Hana BENDERA ya CHAMA CHAKE bali BENDERA ya TAIFA; Ana pata huduma toka kwa VIJANA wa CCM former CHADEMA ambao alisha wasema vipaya na kuwa-resist baada ya wao kuandika habari kuwa aliwekewa sumu...

So Ni nini tuamini? TO BE A POLITICIAN YOU NEED TO BE STABLE STRONG and DECISIVE; No LIGHT or DARKNESS will MAKE YOU CHANGE your MORALE... Mmmmmmmmmm MONEY is EVIL EH?

Mbona Dr Slaa ana kadi ya CCM,hapo haisumbui ila ZZK kupata msaada kutoka marafiki zake walio CCM ni issue! ina maana wewe hauna marafiki ambao wapo upande mwingine let say NCCR, TLP ? hivi vyama umekuja kuvikuta hapa duniani lakini uutu wako na ubainadamu wako umezaliwa nao, jitambue Watazania hawataki uadui bali wanataka mabadiliko yatakayowaletea unafuu wa maisha yao.
 
Kwenye zile picha za mapokezi kuna post zaidi ya 700 kwakuwa walikua wanajadili rangi za nguo walizovaa watu. Ila hapa hawaweki miguu maana kuchallenge mawe ya hutuba hii yataka moyo.
Tumekuelewa Zitto.
 
wewe ni msukule kama wengine waliojazana lumumba fc,ulitaka awe m/kt CDM kwa msaada wa maccm? hilo katu halitawezekana! CDM haiwezi kuongozwa na watu wanafiki,waoga au wanaoweza kununulika! namshauri kama anataka uongozi bas aanzishe chama cha mamluki na wasaliti ili akiongoze! cdm mfukuzeni haraka huyo masalia

Mwanzoni nilikuwa nakalibia kuwamini wale wanaomshutumu ZZK kwa usalilti, ubinafsi,n.k lakini kwa jinsi muda unavyozidi kwenda napata shaka kwamba chuki na tuhuma nyingi dhidi yake zina agenda iliyojificha, haiko wazi hata kidogo.Ni nani leo atasimama hadharani na kusema katika viongozi waliopo CDM hakuna mwenye mapungufu? nani yuko tayari kuyasema mapungufu yao hadharani kama yapo! japo minaamini kabisa kwamba yapo, lakini mbona mapungufu ya ZKK ndio pekee yanayosemwa na mazuri yake kuwekwa kapuni?..Hapo ndipo palipojificha agenda ya siri..time will tell.
 
Acha wivu......say it analytically . Zitto has fought against with all form of corruption....from the saga of buzwagi up to switz billions. Dont you feel shy to tag him with the word corrupt? You people are so amazing when you dont like somebody.

Ati Buzwagi to Switz billions are you real serious, kama ni kweli ni honest fighter yameishia wapi mjomba? Kiongozi wa kweli huhakikisha jambo limefika mwisho huyu Zzk ni tapeli mwingine tu, anapewa hoja na makundi ndani ya ccm na yeye ananufaika kwa kuhongwa kuzima issue. Kubali kuwa huyu jamaa anachukuwa mpunga acha kukariri na umwangalie mtu nyuma ya pazia.
 
Speaking like president. Zitto ijapokuwa sina chama but mawazo yake yanaendana na mie. Nyie mnaotaka atangaze majina ya watu wenye account mnataka Mtajwe halafu mhamishe pesa zenu huko zilipo ili kuficha yenu? Time will tell Zitto wakufukuze waanze kujuta kukosa mtu atakayewaletea ushindi wa rais. Chadema mfukuzeni Zitto halafu 2015 mwekeni dr wenu wa canon mtalia kilio cha nguvu . Zitto ndie presidential material wenu
 
Mnamdanganya sana zitto...ndo maana kutwa yuko ofisini kwake fb na twitter...yeye si mwamba ahame chadema aone...
 
Kigoma inawanasiasa waliokataa kutumika na wahafidhina

Unataka kutuaminisha kwamba hao wote ni wafuasi wa CCM kisa hakuna bendera ya chama?

Zitto kaenda kuongea na wananchi wenzake waliomchagua hakwenda kuongea na wana CHADEMA peke yao

Acheni siasa za maji taka,tusukume gurudumu la mabadiliko

Wewe mwehu kweli, ina maana alichaguliwa na wananchi wasio na vyama? Sijui ni kwanini Mungu naye aliumba baadhi ya watu wenye akili finyu kama huyu!
 
Gesikwanza @ uliambiwa huo mkutano wa chama...kaenda kuongea na wananchi wa kigoma bila itikadi...endelea kutoka povu chadema...mara bendera ..ukitaka bendera ipo ya taifa....mungu ibariki Tanzania...
 
Ulichoandika kinaakisi ufahamu wako 100%, just read it again.........funny! Hata kiswahili tu cha PP1 bado tabu kiasi hicho, kazi ipo.

Una Imani na nafsi yako utakua na Imani na Zitto .....ebu kubali matokeo kijana Kifaa Huyo ...
 
Wewe mwehu kweli, ina maana alichaguliwa na wananchi wasio na vyama? Sijui ni kwanini Mungu naye aliumba baadhi ya watu wenye akili finyu kama huyu!

Kwa hiyo baada ya kuchaguliwa anakuwa kiongozi wa wanachadema tu siyo? ambao wamemchagua. Kama Obama Rais hatusemi kwamba kachaguliwa na wamarekani siyo? Na akiongea na wamarekani si sahihi bali anaoongea na Democratic au una maana gani? Halafu kwa hoja hiyo unampa mwenzio sifa ya wehu na unamkosoa mpaka muumba kwamba ameumba watu wenye akili finyu, kwanini pia usihoji na wewe mwenye akili nyingi usiejua mchaguliwa katika uchaguzi wa kidemokrasia anakuwa amechaguliwa na nani na anawatumikia kina nani na anapoongea anaongea na kina nani? Hapa ndio tunapata tabu sana tunapozungumzia human capital yetu. Hongera mkuu kwa mungu kukuumba "brightest"
 
Ni hotuba nzuri na bora.Hotuba hii ni matokeo ya kijana mwenye akili na maarifa. Umenivutia sana Zitto. Ninajipa jukumu la siku saba kwa ajili yako kwa Mugu wangu. Bila kuathiri heshima ya dini nyingine sisi wakatoliki tuna kitu kinachoitwa NOVENA. Nitafanya novena ya siku saba kuanzia usiku wa leo tarehe 22 mpaka 29 Dec 2013 kukuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe moyo wa UZALENDO,UADILIFU,SUBIRA,KUJIRUDI NA KUZISHINDA TAMAA.
Nimeamua kufanya NOVENA hii kwa sababu ninakiona kipaji chako cha siasa kisicho na kifani. Lakini nimeamua kukuombea hayo niliyoyataja kwani nimeisoma taarifa ya mwenendo wa WAKO tangu mwaka 2008 ambayo ninaamini imetoka CHADEMA. CHAMA{CHADEMA}
 
Back
Top Bottom