Yani jipya ni kutumia tab ila mambo ni yale yale
The concept of PAYE is based on 6 levels as following:
Level 1
Pension amount equal to 10% of the gross salary is not taxable
Hence
Taxable salary = Gross Salary – Pension amount
Level 2
Taxable salary that is equal or less than TZS. 170,000/= is not chargeable
Level 3
Taxable salary Between TZS. 170,000/= and TZS. 360,000/= is charged 14%
Level 4
Taxable salary Between TZS. 360,000/= and TZS. 540,000/= is charged 20% Plus tax from Level 3
Level 5
Taxable salary Between TZS. 540,000/= and TZS. 720,000/= is charged 25% Plus tax from Level 4
Level 6
Taxable salary above TZS. 720,000/= is charged 30% Plus tax from Level 5
Download hii excel calculator hapa
http://www.kivuyo.com/?file_id=24
Based on this concept
A staff whose gross salary is TZS 1,000,000/= (One million Tanzanian Shillings) as an example is taxed as follows:
Wale walioiba EPA Arobaini hazijafika?
Wale wa ESCROW ac bado hazijafika 40
Kama hayo ni ya kweli basi CCM ingekuwa ilishaishiwa viongozi .................!! Nafikiri hiyo ina-apply kwa wezi wa kuku na karanga tu!
pato la taifa kwenye pombe na sio madini,jinga wewe
Yanatekelezeka mkuu...
Ile mipango ya wasomi sio kama ufipa
Kusema kwamba ni mbaya au ni nzuri kiukweli nitadanganya,ila siku bajeti ni kitu kinachoendana na hali halisi
na mazingira au ni jinsi gani mkubwa wako/mfadhili anavyotekeleza wajibu wake.
Na wakati mwingine bajeti inategemea ni jinsi gani wale wanaopelekewa bajeti hizo wanatimiza matarajio ya
bajeti.
Vile vile bajeti inaweza kuongezeka kwa maana ya kutimiza malengo fulani kwa ukamilifu au inaweza kupungua
kwa kiasi fulani ili kujifunga mkanda wa kutokutegemea misaada au mikopo inayoweza kuongeza deni la Taifa.
kwenye ile kashfa ya milioni 600 za Lumumba umepata shilingi ngapi?
Kwahyo mkuu unamaanisha copy and paste ya mwaka wa fedha huu ambao haujaisha.
Salaam wana jamvi,imekua ni kawaida kwa serikali yetu kuongeza kodi kwsenye bia,soda sigara na mvinyo nyingine ili kuongeza pato kwenye bajeti yake kila mwaka.je hakuna vyanzo vingine vinavyoweza kuongeza pato la taifa kwenye bajeti?kwa mfano tuna dhahabu ,madini ya tanzanite nk.na ni kwanini rais,mawaziri na wabunge wasikatwe kodi kwenye miashahara yao?au kodi inatakiwa kutozwa kwa watumishi wa ngazi za chini tu?hamuoni kama kwa kufanya hivyo tunaongeza ugumu wa kupambana na umasikini.mimi naona umefika wakati sasa wa rais,mawaziri na wabunge kulipa kodi ya mapato kila mwezi maana huko ndio kujenga taifa kazi yakujenga taifa ni yakila mtanzania bila kujali yeye ni nani katika jamii.bila kufanya hivyo tusitegemee taifa kusonga mbele kiuchumi tutabaki na uchumi wa kwenye vikaratasi nasio kwenye maisha halisi ya mtanzania.nawasilisha.