Hotuba ya upinzani kuhusu mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka 5

WanaJF, ukiona mtu kaandika utumbo kama FF muacheni kwani hiyo ndo kazi yake.

Back to the topic, Mchungaji hongera kwa kuwasilisha hotuba yako nimeisoma yote bila kuchoka. Contents zimekaa vizuri. Kuhusu FYDP ( Five years Development Plan), bado kuna tatizo hapo tena kubwa. Maandalizi yake sioni kama yanafanyika, ni nadharia za kisiasa tu.
 
Hakika CHADEMA ina wachambuzi, Wasomi waliobobea nk, haya mapungufu yaliyoainishwa hapa ni ya msingi saana, hivi wanaondaa hizi taarifa upande wa Serikali kwanini hawawi makini saana? kwanini hawawahusishi wataalam waliobobea na kubaini mapungufu kabla ya kutolewa? hivi kweli hatuna hao wataalam wa kuchambua na kuona hayo mapungufu na kuyarekebisha kabla hayajatolewa hadharani? juzi tuliona mapungufu kwenye mchakato wa kupata KATIBA mpya, leo huku mimi binafsi nimesikitishwa mno na haya mambo. Hongereni CDM kwa umakini wetu tunaomba tuendelee kuikosoa Serikali yetu itasikia tu
 
Hapo ndipo huwa najiuliza umakini wa hawa wawakilishi wa cdm bungeni na upotoshaji wao wa mambo kila kukicha. Hivi watalijuwaje hilo la mpango wa maendeleo wakati wao walisusia hotuba ya Rais laufunguzi wa bunge alipoeleza nia yake ya kuanzisha huu mpango?

Hiyo hotuba ya Rais ilijadiliwa bungeni kwa kina, kama wao hawajachangia hili basi leo wasipotoshe umma kwa kuwaambia hawalijui.

Hivi kama walisusia hicho kikao basi hata hawajachungulia kwenye TV? Halafu wao wanamsusia Rais hotuba yake tu? kwa nini na huu mpango wake wasiususie? Wananshangaza!
natamani niku***** lakini basi tu!
 
Hivi kwenye mpango huu wa maendeleo ahadi za JK zimezingatiwa?
kwani huu ndio mpango wa kutekeleza ilani yake ya uchaguzi, sasa kuna haja ya kufuatailia kwa makini kama zimo hizi kwenye mpango.


1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2.Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3.Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4.Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5.Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6.Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7.Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8.Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9.Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10.Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11.Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12.Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13.Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14.Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15.Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16.Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17.Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18.Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19.Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20.Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21.Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22.Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23.Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24.Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25.Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26.Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27.Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28.Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29.Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30.Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31.Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32.Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33.Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34.Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35.Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36.Kulinda haki za walemavu - Makete
37.Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38.Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39.Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40.Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41.Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42.Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43.Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45.Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46.Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47.Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48.Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49.Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50.Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51.Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52.Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53.Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54.Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55.Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56.Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57.Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58.Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59.Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60.Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61.Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62.Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63.kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64.Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65.Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66.Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67.Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68.Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
 
hivi kwenye mpango huu wa maendeleo ahadi za jk zimezingatiwa?
Kwani huu ndio mpango wa kutekeleza ilani yake ya uchaguzi, sasa kuna haja ya kufuatailia kwa makini kama zimo hizi kwenye mpango.


1.kujenga reli mpya kutoka dar es salaam mpaka mikoa ya kanda ya ziwa - nzega, tabora
2.mkoa wa tanga kuwa jiji la viwanda - tanga mjini
3.tabora kutumia maji ya ziwa victoria - igunga
4.kulipa madeni ya chama cha ushirika mkoa wa shinyanga (shirecu) - shinyanga
5.kumaliza migogoro ya ardhi nchini - dodoma
6.wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - dodoma mjini
7.kuwapatia trekta wakulima - kata ya mrijo, dodoma
8.wananchi kutoondolewa kwenye ranchi ya misenyi - kagera
9.kujenga uwanja wa ndege misenyi - kagera
10.kupanua uwanja wa ndege bukoba - bukoba mjini
11.kujenga uwanja wa ndege mkubwa kigoma - kigoma mjini
12.mtukula kupatiwa umeme kutoka uganda - kagera
13.mikoa ya kagera, kigoma, lindi, rukwa na ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - kagera
14.kuimarisha takukuru kwa miaka mitatu - kagera
15.hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - mbeya
16.kununua meli kubwa kuliko mv bukoba - kagera
17.kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18.serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - mwanza
19.kuimarisha usalama ziwa victoria na ziwa tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - mwanza
20.wilaya ya geita kuwa hadhi ya mkoa januari mwakani - geita
21.kulinda muungano kwa nguvu zote - pemba
22.kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko kilosa - morogoro
23.kununua meli mpya kubwa ziwa nyasa - mbeya mjini
24.kujenga bandari kasanga – rukwa
25.kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - songea
26.kufufua mgodi wa makaa ya mawe kiwira - mbeya
27.kuzuia hatari ya kisiwa cha pangani kuzama - tanga
28.kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - iringa
29.kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka same mpaka kisiwani – kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya moshi - dar es salaam - same mkoani kilimanjaro
30.kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya same - same mjini
31.kuboresha barabara za igunga - tabora
32.kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - kisesa magu
33.kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - mbeya mjini
34.kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo hospitali ya taifa ya muhimbili (mhn) - hydom manyara
35.kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - musoma
36.kulinda haki za walemavu - makete
37.kujenga baabara ya njombe - makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - iringa mjini
38.kujenga barabara musoma – mto wa mbu arusha - arusha
39.kuanzisha jimbo la ulyankulu- shinyanga mjini
40.kujenga barabara ya lami manyoni-kigoma – kaliua,tabora
41.kukarabati barabara ya arusha moshi - arusha mjini
42.kuboresha barabara ya handeni, kondoa, mpaka singida - dodoma
43.kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - longido
44.vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa ziwa victoria - shinyanga-kahama kuunganishiwa maji - shinyanga
45.tatizo la umeme kufikia kikomo novemba mwaka huu mkoani arusha – arusha mjini
46.kukopesha wavuvi zana za kilimo - busekera, wilaya ya musoma
47.kuwapatia maji wakazi wa wilaya ya longido - longido
48.kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa hifadhi ya taifa ya seregenti – ngorongoro
49.utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - mbulu mkoani manyara
50.kusambaza maji nchi nzima - babati vijijini
51.kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. Mwaka 2010-2015 - babati vijijini
52.kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - iringa
53.kuhakikisha isimani inapata maji ya uhakika - iringa
54.kuiwekea lami barabara inayokwenda katika hifadhi ya taifa ya ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote tanzania - iringa
55.kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -ifunda
56.kutokomeza malaria 2015 - bunda, mkoa wa mara
57.kuwapa wanawake nafasi zaidi - kilolo, iringa
58.ahadi kuisadia zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - kibandamaiti mjini zanzibar
59.kuipandisha hadhi hospitali ya mnazi mmoja zanzibar kuwa ya rufaa - kibandamaiti mjini zanzibar
60.kuisaidia zanzibar kila panapohitajika msaada - kibandamaiti
61.serikali kujenga upya bandari ya mbambabay - ruvuma
62.ununuzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - mbambabay ruvuma
63.kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa mbinga (mbicu) – ruvuma
64.ahadi rais wa marekani barack obama kuimwagia misaada tanzania – ruvuma
65.ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-dar es salaam
66.mtwara kuwa mji wa viwanda – mtwara
67.ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - kibaha
68.hospitali ya tumbi kuwa ya mkoa - kibaha
69.halmashauri ya manispaa ya kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - kibaha
maralia sugu jibu hoja hizi najua uwezo unaoooo
 
hivi mheshimiwa Rais huwa anahoji vitu vinavyopelekwa mbele yake pengine hata kuvisoma kwanza kabla ya kuchukua hatua yoyote? kama mtu aliyewahi kukaa bungeni kama mbunge kwa zaidi ya miaka 10 ina maana hajui lolote kuhusu ibara hii? ali-sign vp mpango huu wa serikali bila hata kupelekwa bungeni kwa majadiliano? hapa Rais kadanganywa tena.
Alafu eti ni mchumi!
 
Hapo ndipo huwa najiuliza umakini wa hawa wawakilishi wa cdm bungeni na upotoshaji wao wa mambo kila kukicha. Hivi watalijuwaje hilo la mpango wa maendeleo wakati wao walisusia hotuba ya Rais laufunguzi wa bunge alipoeleza nia yake ya kuanzisha huu mpango?

Hiyo hotuba ya Rais ilijadiliwa bungeni kwa kina, kama wao hawajachangia hili basi leo wasipotoshe umma kwa kuwaambia hawalijui.

Hivi kama walisusia hicho kikao basi hata hawajachungulia kwenye TV? Halafu wao wanamsusia Rais hotuba yake tu? kwa nini na huu mpango wake wasiususie? Wananshangaza!

Kwani rais ndio nani katika hii nchi? Sio ombaomba tu kama wewe uliyetumwa na Nepi. Tena unaelkewa upo kasi sana kuliko Nepi mwenyewe aliyekutuma. Kikwete sio rais wangu na wala siwezikuwa na rais kama huyo Kilaza. Wapinzani hawakumsusia hotuba ya kilaza au rais wako bali mchakato wa ushindi wa mezani aliopewa na Mpumbavu Tendwa.
 
Hapo ndipo huwa najiuliza umakini wa hawa wawakilishi wa cdm bungeni na upotoshaji wao wa mambo kila kukicha. Hivi watalijuwaje hilo la mpango wa maendeleo wakati wao walisusia hotuba ya Rais laufunguzi wa bunge alipoeleza nia yake ya kuanzisha huu mpango?

Hiyo hotuba ya Rais ilijadiliwa bungeni kwa kina, kama wao hawajachangia hili basi leo wasipotoshe umma kwa kuwaambia hawalijui.

Hivi kama walisusia hicho kikao basi hata hawajachungulia kwenye TV? Halafu wao wanamsusia Rais hotuba yake tu? kwa nini na huu mpango wake wasiususie? Wananshangaza!

Nepi amepata hasara ya kukulipa kwa kazi alikuagiza. Unapokurupuka bila kuvaa nguo ina maana gani? Unaposema wawakilishi wa CDM kususia kwao kikao siku rais anafungua bunge kumewafanya wakose kuchangia mpango wa maendeleo wa miaka 5 mimi naona nikukurupuka. Hotuba ya rais haikuhusu mpango wa maendeleo. Kiutaratibu hoja za serikali zinawakilishwa bungeni kwa utaratibu wa kibunge siyo katika utoaji wa hotuba ya rais kama unavyosema. Hata wale wabunge wa CCM hawakuchangia katika mpango huo.
 
Jamani muacheni faiza-fox wangu...!! Faiza alisoma shule za kawaida, chama chake ni cha kawaida, hufikiria kawaida, hutoa majibu ya kawaida na mambo yake ni ya kawaida-pole dada kwa kichwa cha kawaida
hapo ndipo huwa najiuliza umakini wa hawa wawakilishi wa cdm bungeni na upotoshaji wao wa mambo kila kukicha. Hivi watalijuwaje hilo la mpango wa maendeleo wakati wao walisusia hotuba ya rais laufunguzi wa bunge alipoeleza nia yake ya kuanzisha huu mpango?

Hiyo hotuba ya rais ilijadiliwa bungeni kwa kina, kama wao hawajachangia hili basi leo wasipotoshe umma kwa kuwaambia hawalijui.

Hivi kama walisusia hicho kikao basi hata hawajachungulia kwenye tv? Halafu wao wanamsusia rais hotuba yake tu? Kwa nini na huu mpango wake wasiususie? Wananshangaza!
 
hapo ndipo huwa najiuliza umakini wa hawa wawakilishi wa cdm bungeni na upotoshaji wao wa mambo kila kukicha. Hivi watalijuwaje hilo la mpango wa maendeleo wakati wao walisusia hotuba ya rais laufunguzi wa bunge alipoeleza nia yake ya kuanzisha huu mpango?

Hiyo hotuba ya rais ilijadiliwa bungeni kwa kina, kama wao hawajachangia hili basi leo wasipotoshe umma kwa kuwaambia hawalijui.

Hivi kama walisusia hicho kikao basi hata hawajachungulia kwenye tv? Halafu wao wanamsusia rais hotuba yake tu? Kwa nini na huu mpango wake wasiususie? Wananshangaza!
hivi wewe umelogwa? Mbona kila kitu wewe upo kinyume?
Kaa chini ujitafakari upya ikiwezekana ujitoe gamba.
 
hivi mheshimiwa Rais huwa anahoji vitu vinavyopelekwa mbele yake pengine hata kuvisoma kwanza kabla ya kuchukua hatua yoyote? kama mtu aliyewahi kukaa bungeni kama mbunge kwa zaidi ya miaka 10 ina maana hajui lolote kuhusu ibara hii? ali-sign vp mpango huu wa serikali bila hata kupelekwa bungeni kwa majadiliano? hapa Rais kadanganywa tena.

Mkuu,
Mbona hili ni jambo la kawaida kwa JK..........hata huko bungeni yeye alikuwa anapiga kura tu bika kujua anapigia nini kura. Hata alivyokuwa wizara ya mambo ya nje alikuwa anaanguka tu bila kujua anasaini nini.
Nahisi hata paper zake za UDSM zitakuwa zimejaa PLAGIARISM.
 
Hapo ndipo huwa najiuliza umakini wa hawa wawakilishi wa cdm bungeni na upotoshaji wao wa mambo kila kukicha. Hivi watalijuwaje hilo la mpango wa maendeleo wakati wao walisusia hotuba ya Rais laufunguzi wa bunge alipoeleza nia yake ya kuanzisha huu mpango?Hiyo hotuba ya Rais ilijadiliwa bungeni kwa kina, kama wao hawajachangia hili basi leo wasipotoshe umma kwa kuwaambia hawalijui.Hivi kama walisusia hicho kikao basi hata hawajachungulia kwenye TV? Halafu wao wanamsusia Rais hotuba yake tu? kwa nini na huu mpango wake wasiususie? Wananshangaza!
Kwani hotuba waliyosusia CDM ilikuwa uwasilishaji wa mpango wa maendeleo?Je, Mh Raisi aliwasilisha mpango huo ili ujadiliwe wakati wa hotuba ya ufunguzi wa bunge? Nikumbushe hapo kwani nadhani unataka kupotosha wana Jf
 
hapo ndipo huwa najiuliza umakini wa hawa wawakilishi wa cdm bungeni na upotoshaji wao wa mambo kila kukicha. Hivi watalijuwaje hilo la mpango wa maendeleo wakati wao walisusia hotuba ya rais laufunguzi wa bunge alipoeleza nia yake ya kuanzisha huu mpango?

Hiyo hotuba ya rais ilijadiliwa bungeni kwa kina, kama wao hawajachangia hili basi leo wasipotoshe umma kwa kuwaambia hawalijui.

Hivi kama walisusia hicho kikao basi hata hawajachungulia kwenye tv? Halafu wao wanamsusia rais hotuba yake tu? Kwa nini na huu mpango wake wasiususie? Wananshangaza!

huu nao ni mtindio mungine wa ubongo!
 
Hivyo utaratibu wa kuwasilisha hoja kama huo mpango wa maendeleo bungeni ukoje? Rais anaweza kwenda mwenyewe bungeni kuwasilisha mpango wake? au ni jukumu la Waziri anayehusika na maendeleo. Naomba ufafanuzi
Mtumiabusara, si kwamba huyu dada hajui anachokiandika; anajua kila kitu, lakini ni hulka tu ya umagamba kwa watu ambao wamezoea kubebwa; kula kwao na kuishi kwao kunategemea uwepo wa CCM. Watu kama hawa hata angeuona ukweli kwa macho atajaribu kuongea tofauti ili mradi tu atetee mfumo unaomfanya yeye aishi hapa duniani. Na usishangae upuuzi wote huu anaoandika hapa unatokana tu na kuwa na boyfriend anayefanya kazi CCM. Siku akipigwa chini na huyo boyfriend utaona anaongea point au anahama kabisa JF.
 
Mkuu kwani hii document imetoka ofisi ya chadema? Letter head yeyote? au muhuri au sahihi? (Japo hata hivi vyaweza kuchakachulika vizuri tuu)Si imesomwa bungeni,na bila shaka itaingizwa kwenye ansadi za bunge. By the way format ipi isiyochakachuliwa siku hizi?

Unaweza kuprotect word documents kwa kutumia "protection tool" with a password, otherwise badilisha kwenda kwenye .pdf format
 
Alipewa tu akasaini jamani,alisahau ulitakiwa ujadiliwe na bunge kwanza

Huyu faizafoxy ni dume,si jike
 
FaizaFoxy tunachoangalia si component moja ya kuidhinishwa na bunge punguza ukereketwa uangalie hata hizo figures hazioneshi kuwa ni mpango utakaokuwa feasible maana hata bajeti yake haionekani.Tupunguze kuishi kwa udanganyifu-tunadanganya wafadhili waone tuna dhamira kumbe la!tunadanganya wananchi ili wadhani serikali iko busy na maendeleo yao kumbe wapi!!!!

Unashangaza! bajeti yake? ngoja nisikupe faida, usikilize majibu ya bungeni kwanza halafu ndio uulize.
 
Dada, hivi wewe na Malaria sugu ni shirika moja au au? Kwanini usiwe angalau unatumia ubongo wako kufikiria kabla ya kuandika? Unajua unaboa?

Wewe jibu hoja achana na mimi na MS. Kama huna jibu kaa kimya. Unanini babuweee?
 
Back
Top Bottom