Hotuba ya Rev Fernandes dhidi ya wanaoliibia taifa

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,412
7,966
Live mtume fernandes anatoa hutuba kali dhidi ya watu wezi wanaoliibia taifa,anasema kikwete usiwaogope watu wako
 
du hata mimi nimeisikia anazungumzia dowans na kumtaka kikwete asiwaingize wantanzania kwenye mzigo wa kulipa dowans wakati wao wenyewe wanamaisha magumu sana
 
da namuona hapa mchungaji anafanya maombi kwa ajili ya taifa zima na amewaombea watumishi wa ikulu wote pamoja na kikwete
 
Ni kweli panatakiwa msaada wa Mungu aliye hai kulikomboa taifa hili. Namfurahia sana huyu mtumishi wa Mungu maana anafanya kile ambacho watumishi wa Mungu wanatakiwa kukifanya. Si mara ya kwanza kusikia akikemea uovu wa wakuu wa dola hii.
 
For the president whose legitimacy is questionable, his leadership is doomed to failure. Tulimchagua mtu wetu yeye akachukua kwa nguvu kwa kuwatumia makame na kiravu. Mungu hawezi kuwekea utawala wa namna hii baraka zake !! Tutegemee mabaya kuliko tunayoona!!!!!!!!!
 
da namuona hapa mchungaji anafanya maombi kwa ajili ya taifa zima na amewaombea watumishi wa ikulu wote pamoja na kikwete

huku niliko TV hazikamatiki, I hope anaomba ili wafe, maana ni bora mmoja akafa kwa ajili ya wengi, matendo yao ya kifisadi yamesababisha vifo vya walala hoi wengi na wasomi hapa nchini.
 
yaani hata wewe bwabwa fimboyambali kumbe unaangaliaga na watumishi lakini hutaki kubadilika?
 
Manabii na Mitume wa kweli ndio walivyo, Hukemea maovu katika nchi, hukemea mapungufu katika utawala. Tuombe Mungu atuongezee watumishi wa kweli.:A S crown-1:
 
Huwezi kuwa kiongozi wa dini safi halafu ukahubiri uchafu au ukabariki uchafu, mtumishi fernandes amenena na haogopi kwa sababu ananena kwa roho ya utume, sasa anayetaka kupambana nae ajitokeze aone moto wake.
 
For the president whose legitimacy is questionable, his leadership is doomed to failure. Tulimchagua mtu wetu yeye akachukua kwa nguvu kwa kuwatumia makame na kiravu. Mungu hawezi kuwekea utawala wa namna hii baraka zake !! Tutegemee mabaya kuliko tunayoona!!!!!!!!!

kweli kabisa....rais 'wa umma wa watanzania' Mungu anamlinda na ndio maana analionyesha taifa kuwa utawala uliopo ni wa kuiba uhalali, ni uovu na sii kwa matakwa ya umma, na utaangamia....yetu macho! kuna maafa makubwa yatakayowakumba viongozi hawa kama adhabu ya Mungu...

Makame na Kiravu walishakufa au bado wapo?......kwanini wametoweka kiania, au wamewekwa nje ya nchi kula 'shukrani kwa kuliwekea taifa 'janga' na kuiangamiza neema na nyota ya uhai wetu?
 
Back
Top Bottom