Edson ...halafu imejaa uchonganishi...jk hajui tofauti ya MAT na chama chama cha madaktari[/QUOTE said:Hiko kitu ni kimoja mkuu naamini ulidhamiria kuandika jumuiya ya madaktari.
Ndo hiyo2,hakuna tofauti!
Ileile iliyoko humu
Kweli hatuna rais
Inaonekana kuwa yenyewe,anasema vyombo vya usalama vimejitahidi kuzuia uhamiaji haramu.Anawashukuru wanakijiji wa Chitega kwa kuwajali wahanga wa uhamiaji
the same
ndo hiyo hiyo hana jipya
Toauti ni kuwa ile tuliyokuwa nayo hapa haikuwa na sauti.It is exactly the same!!!!
Jk hana analojua mkuuanafiiri vitisho ndio kutawala nchi kasahau kuwa watanzania wasasa sio wa miaka arobaini na saba ngoja ajidanganye mkuu aone sasa shughuli yake.hotuba yake nimeisoma yote na nimeshawishika kuwa huyu kikwete yuko nyuma ya mpango mzima wa kumdhuru ulimboka hasa nikisoma aya ''hii Ni kweli kwamba yeye si mtumishi wa Serikali, hivyo hakustahili kuwa sehemu ya majadiliano haya. Kulikuwa na rai ya kutaka asiwepo, lakini nilisema wamuache maadam Madaktari wanamuamini kuwa anaweza kuwasemea vizuri zaidi kuliko wao wenyewe walioajiriwa na Serikali.Na, kuhusu mgomo, Mahakama Kuu imekwishatoa amri ya kusitisha mgomo. Anayekaidi amri ya Mahakama ananunua lugomvi na mhimili huo wa dola ambao wenyewe una mamlaka ya kumtia adabu mtu huyo. ''
...halafu imejaa uchonganishi...jk hajui tofauti ya MAT na chama chama cha madaktari
Raisi wa madesa!! Ukimchek utadhan anatoa akilini mwake Kumbe kuna screen ya desa mbele!! Mh shame. Ngoja tutamsikia akijigonga swala la ulimboka.
Toauti ni kuwa ile tuliyokuwa nayo hapa haikuwa na sauti.
Anaongelea ishu mbili;
1.Uhamiaji haramu-hasa wale wa Ethiopia waliokufa Dodoma
2.Mgomo wa Madaktari
jk, afunika!
Hizi ndio kauli tuzitakazo, anayeona mshahara haumtoshi atafute muajiri mwingine.
jk, afunika!
Hizi ndio kauli tuzitakazo, anayeona mshahara haumtoshi atafute muajiri mwingine.