Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

Katika mambo ntakayokumbuka kwa JK ni kushindwa kuzungumza kama Rais. Mara zote anaegemea upande mmoja.sijui ni ukosefu wa maarifa au udhaifu binafsi.kuhusu katiba alianzisha bila kuwa sera yake so ni vema akubaliane na wenye sera Hiyo.ni afadhali afanye mauaji ya kimbari kuliko kutotimiza hamu ya watanzania aliyoiamsha.
 
Nguruvi3

Lini rais Kikwete kwako hukujikanyaga au lini kwako rais Kikwete alikuwa na jema lolote, mie nakushauri vuta subra JK anamaliza muda wake mwakani, jitokezeni nyie wajuvi wa kuongoza mchukue dola watanzania tule keki, hakauna kitu kizuri kama kuwa mpingaji huwa burudani sana unaadika chochote unachojisikia.
Mufti, hongereza kwa mfungo. Haya ni aje, nijaalie na ahli hapo nyumbani.

Bahati nzuri ni rais wa nne, hivyo tuna standard. Kila mwanadamua ana mapungufu lakini makusudi si mapungufu.
Kikwete kwakweli ametuondoa njiani, ndugu yangu! hivi tukae kimya tu tukielekea porini bila kusema.
 
Wewe unafanya nini? Unatoa maoni, unalalamika, unagomba? Mmemsema sana president, hotuba yake iko sawa ksbisa, subirini atoke madarakani muigawe nchi vipande vipande kama huyo rais ajae atakuwa juha kama mnavyofikiria
Hukujibu hoja. Ahsante hata hivyo kwa ushauri wako.
 
Hivi nchi hii haina sheria? Maana naona kuwa sheria pekee ndiyo ingeleta utatuzi wa sintofahamu ya Katiba mpya. Inatakiwa tafsiri ya kama Bunge hili lina mamlaka ya kubadili misingi ya Rasimu ya Katiba ama kuiboresha tu. JK anasema kuwa majukumu ya Bunge hilo ni kuandika katiba mpya. Tume inasema kuwa majukumu ya Bunge hilo ni uboresha tu na si kuandika msingu mpya. Ni kweli? Ndivyo sheria inavyosema? Tukifafanuliwa hivyo tutajua mbivu na mbichi!
 
Msimamo wa jk ni wa kuungwa mkono na mtanzania yeyote aliyekwishatambua hila za UKAWA

Hujakosea kabisa,ataungwa na mkono na Watanzania wenye IQ ndogo possibly below 72 kama nyinyi.Lakini kwa Watanzania wenye akili zilizo hai kama sisi hatutamuunga mkono huyo rais wako,Never!
 
Wewe unafanya nini? Unatoa maoni, unalalamika, unagomba? Mmemsema sana president, hotuba yake iko sawa ksbisa, subirini atoke madarakani muigawe nchi vipande vipande kama huyo rais ajae atakuwa juha kama mnavyofikiria

wewe mwehu,Nguruvi3 amechambua sehemu kadhaa ambazo ni dhahiri rais kajichanganya,sasa umeshindwa kujibu hoja unapiga domo
 
Siwezi kukumbuka pahala po pote ambapo Mhe Dr. Rais Jakaya Kikwete amaeishawahi kuonesha seriousness katika maana hali ya neno 'serious'! Ni mtu wa mizaha tu!!! My first reaction moyoni mwangu kwa hotuba yake ya ufunguzi wa BMK ilikuwa ni kwamba Tanzania inahitaji mujiza litokee jopo la wise men and women kufungua kesi mahakama kuu ya kusimamaisha mchakato wa Katiba Mpya. Wiki chache baadaye nilifarijika sana nilipoona wise men na women wamejitokeza kwa njia ya UKAWA. Huyu bwana anatania.

hoja yako hasa ni nini?
 
Naona rais amesahau mengine aliyosema kwenye BMK.Nimkumbushe;
Alisema "Wanaotaka serikali tatu wasubiri mimi niondoke madarakani". Je,maneno haya ni ushauri?
- Kama aliiacha tume ya Warioba ifanye kazi yake kwa uhuru bila kuingiliwa na yeye,kwa nini hakufanya hivyo hivyo kwenye BMK?
- Kama alikuwa na nia njema,taifa lipate katiba mpya,kwa nini alifunga tovuti ya tume?
 
daaah nasikitika kwa hii hotuba ya rais wa jamhuri kubwa kama hii kuyakana maneno yake....anasema kuwa yy alitoa ushauri tu...embu tujiulize watanzania wenzangu ulikua ni muda muafaka ule kwa rais kutoa maoni yake pale au alipewa fursa ya kufungua Bunge.
Nashukuru kujitambua kwamba yeye kama kiongozi mkuu anahaki ya kuangalia mambo mbalimbali ndani ya nchi...swali ni je ulikua wakati muafaka kwa yy kutoa maoni mbele ya bunge? mbele ya zaidi ya wajumbe 200 wa chama chake ambaye yyvni mwenyekiti wake unategemea wanachama wako watakupinga ulichosema zaidi ya kukisapoti kile unachosema ili wasije kuonekana wasaliti kwa kupinga maoni ya mwenyekti wao...ni maoni yangu tu kama MTZ
 
Jk anawapa somo UKAWA hakika hawa pakutoka!

Bunge la katiba linayo mamlaka ya kuboresha,kubadilisha chochote kwenye Rasimu ya Katiba!
 
daaah nasikitika kwa hii hotuba ya rais wa jamhuri kubwa kama hii kuyakana maneno yake....anasema kuwa yy alitoa ushauri tu...embu tujiulize watanzania wenzangu ulikua ni muda muafaka ule kwa rais kutoa maoni yake pale au alipewa fursa ya kufungua Bunge.
Nashukuru kujitambua kwamba yeye kama kiongozi mkuu anahaki ya kuangalia mambo mbalimbali ndani ya nchi...swali ni je ulikua wakati muafaka kwa yy kutoa maoni mbele ya bunge? mbele ya zaidi ya wajumbe 200 wa chama chake ambaye yyvni mwenyekiti wake unategemea wanachama wako watakupinga ulichosema zaidi ya kukisapoti kile unachosema ili wasije kuonekana wasaliti kwa kupinga maoni ya mwenyekti wao...ni maoni yangu tu kama MTZ
Rais hutoa hotuba mahali popote na wakati wowote
 
Back
Top Bottom