Hotuba ya Rais Kikwete, Bungeni Dodoma - Novemba 07, 2013

Hatutaki kusikia Tanzania ndio
Chanzo cha EAC kufa kama Muungano
Ukifa - JK
 
hii nchi kupata habari imekuwa issue kweli yaani rais anakwenda kuhutubia bunge huku wenye nchi wanahaha kuulizana inarushwa na channel gani
 
sasa kaongea nn cha maana sasa mnapiga makofi?? Kaingia mzee wa sura ngumu kama nyuma ya kandambili maneno kibaaao utekelezaji 0
 
jamani JK amemaliza, anaongea mzee wa wapigwe tu, hivi kikwete ameongea nini vile.......
Kwa hotuba hii jk umepoteza muda hakuna cha maana umeongea..unalalamika lalamika tu
 
Back
Top Bottom