Hotuba ya Rais Kikwete, Bungeni Dodoma - Novemba 07, 2013

Hahahaha .Kweli Tanzania ina maajabu .Yaani hii ndiyo hotuba kweli ? Angaliweza ongea tu akiwa Magogoni na kupunguza gharama hizi .

Mskie Pinda sasa naye kaanza unyenyekevu
 
Rais Kikwete kaongea maneno ya ujenzi sana. Amefanya kazi nzuri sio tu kuongea na watanzania, katoa darasa kwa wana wa africa mashariki na dunia.
 
JK-Mh.Spika,waheshimiwa wabunge wote nawashukuru kwa kunisikiliza.asanteni.mbeya city 3-3 azam dk 88.
 
Nadhani kuna kitu sijaelewa...sasa kama tayari baadhi ya member state wamejadili peke yao vitu ambavyo vpo kwenye mkataba wa EAC kinyume na kanuni...nini maamuzi yetu.?? Hapo cjaelewa
 
eti pinda anamwambia dhaifu kuwa akifanyafanya tena kwan amefanywa??? Makinda naye ni yale yale
 
Kwa hotuba hii jk umepoteza muda hakuna cha maana umeongea..unalalamika lalamika tu
Wananchi wanalalamika, wabunge wanalalamika, mawaziri wana lalamika, haya tena leo kikwete nae analalamika...
 
Back
Top Bottom