Omulangira
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 230
- 29
Makamanda siukubahatika kusikiriza hotuba ya Ester wassira kwenye mdaharo uliofanyika kwenye ukumbi wa Nkuruma siku ya kumbukumbu ya kifo cha MWL. Nyerere. Tafadhari kama kuna mtu anayo basi naomba anitumie.