chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,002
- 20,662
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka iliyopita. May be kakomaa kisiasa au sasa kaamua kutumia kichwa chake sawasawa.
Ni hotuba zilizojaa usomi, umakini, analysis, na kwa mtu mwenye majukumu makubwa kama yake, ana kumbukumbu za takwimu na matukio makubwa. Kaachana na kuchapa viboko vianafunzi, na mengine kama ya pale kwao Iringa ya kujitapa kuwa na uwezo wa kutoa uhai
Nadhani sasa atakuwa mbuyu wa siasa, kukumbatia mbuyu ni ngumu.