Hotuba ya Ahmednajad UN jana hapa.

Amid warnings from other world leaders—and planned protests outside—Mahmoud Ahmadinejad addressed the

United Nations General Assembly on Wednesday, his last speech in front of the world body as president of Iran.

The outspoken Iranian leader called for a "new world order," criticizing capitalism and the United States and Europe for "trampling on the rights of others" and contributing to global poverty and humanitarian failures.

"The history of mankind is marked with failures," Ahmadinejad said in a speech that was not attended by the U.S. and Israeli delegations in protest.

Ahmadinejad ticked off a long list of those failures—including environmental atrocities, the killing of "millions" of people in U.S.-led wars in Iraq and Afghanistan, the "throwing of [Osama bin Laden's body] into the sea"

without witnesses or a trial, and a world media sympathetic to "Zionism"—before lamenting "how beautiful and pleasant our lives and the history of mankind would have been" without them.

"Poverty is on the rise, and the gap is widening between the rich and the poor," Ahmadinejad said, blaming the "current world order, founded on materialism, that aims to monopolize power, wealth, science and technology for a limited group.

"There is no doubt that the world is in need of a new order and fresh thinking," he said. "An order that aims to revive human dignity and believes in peace and welfare for all walks of life.

"Do people that spend hundreds of millions on election campaigns have the interests of people of the world at heart?" Ahmadinejad asked.
[Slideshow: Images from the U.N. General Assembly]

"Capitalism is bogged down in a self-made quagmire," he said, calling for a U.N. restructuring.
Ahmadinejad's speech came a day after President Barack Obama issued a stern warning to Iran over its nuclear program.

"Make no mistake," the president said. "A nuclear-armed Iran is not a challenge that can be contained. It would threaten the elimination of Israel, the security of Gulf nations and the stability of the global economy."

On Tuesday, Ahmadinejad scoffed at the notion of an Iranian nuclear buildup.
"A nuclear weapon? For what? For what purpose?" Ahmadinejad said in an interview with the Associated Press. "Why would we do that? What would we use it for?"

The leader of Iran—who refuses to refer to Israel by name—also dismissed talk of a U.S. or Israeli military strike on Tehran's nuclear facilities, Agence France-Presse said.

"Uncultured Zionists that threaten the Iranian nation today are never counted and are never paid any attention in the equations of the Iranian nation," Ahmadinejad said earlier this week.

Demonstrators who have been protesting this week outside the hotel where Ahmadinejad is staying were expected to be outside the U.N. while he spoke.

In a statement issued before Ahmadinejad's speech, Erin Pelton, spokeswoman for the U.S. Mission to the United Nations, said: "Over the past couple of days, we've seen Mr. Ahmadinejad once again use his trip to the

U.N. not to address the legitimate aspirations of the Iranian people but to instead spout paranoid theories and repulsive slurs against Israel."

Ahmadinejad addresses U.N. General Assembly amid protests | The Lookout - Yahoo! News
 
Muiran anaongea kwa niaba ya Africa, ni mamilioni ya Waafrika walifariki na kuteseka katika biahsara ya utumwa. hii ni changamoto kwa nchi za Kiafrika!
 
Muiran anaongea kwa niaba ya Africa, ni mamilioni ya Waafrika walifariki na kuteseka katika biahsara ya utumwa. hii ni changamoto kwa nchi za Kiafrika!

Mwarabu huyo huyo ndiye aliyewauza na kuwaua kwa sana so leo umeona anakutetea?
 
US wauaji lazima wakimbie ukumbini.Mawazo yao dunia ikiwa na amani watauza wapi silaha

safari hii wamerekani hawakukimbia ukumbi walipewa maelekezo maalumu ya kustayput till the end.
Ila ujumbe wa israel ulitoka ukumbini peke yao hio ilikua ni message ya obama kwa bibi.
Pia obama siku ya jummane aligoma kukutana na netanyahoo.
 
yeye anajua hatma yake.
na je watamtupa barabarani au baharini.

Mwenzie Ghadafi alionekana siku za mwisho hapo UN akitoa hotuba zake za kuwachosha watu kumbe alikuwa anaaga bila kujijua, kweli binadamu siku zote hajui kinachomtokea mbele yake la sivyo angekaa kimya tu.
 
huyu nae siyo mzima ,kama atengenezi silaha za nuclia .si haruhusu kinu kikaguliwe mambo yaishe , anatesa watu wa iran bure tuu .kwa kuweekewa vikwazo vya uchumi ,alafu kibaya zaidi huyu akitoka tuu madarakani .hakuna atakae endeleza ushenzi wake ,maraisi watarijiwa wote .hawapendezwi na sera zake ,
 
kuna mambo mengi yako nyuma ya pazia hatuyajui.
Kama mdau alivyosema inawezekana kweli Nejad works for US.
Mimi pia uwa nina amini Osama was working for USA na alikuwa anatumia watu bila wao kujua nini kinaendelea. Uki connects dots utakuja ona hii kitu.
 
Osama alipata mafunzo toka America,akwafanyia kazi na baadaye akageuka kuwa ''mtoto nunda'',walichomfanyia ni kumfundisha mtoto nunda adabu. Na si Osama tu, hata Savimbi alitumia baada ya cold war kwisha wakamtelekeza na kumu-expose hadi kifo chake.
Kwa Ahmedinejad? La hasha,huyu hawajampata na anaonekana kivuri ndio maana wanapanga kummaliza.
Akiondoka kwamba hakuna kama yeye? Wapo wengi Mkuu,chini ya Baraza la Kiislam ambao watachukua nafasi. Nani alitegemea baada ya Ayatollah Khomein atakuja mtu kama Nejad? Letz wait n see.
 
Osama kufundishwa na wamarekani hiyo naijua mkuu. Wamarekani wana msemo kwamba once a CIA, always a CIA. Ukitaka mtuma mtu kutimiza lengo flani si unajifanya mmekorofishana ni adui wako kama ilivyokuwa kwa Osama.
Kwanini mimi nina amini Osama alikuwa agent wa US.
-kwa mgongo wa Alqaeda US imeharibu na kuvamia mashariki ya kati na kuidominate. Mimi naona hii ni mbinu ya US kwa kumtumia Osama.
-Kuna ushahidi kuwa Alqaeda ilikuwa inadhaminiwa na pesa kutoka vyanzo mbalimbali vya US hili sitaliongelea sana labda siku nyingine tuanzishe topic juu ya hili.
-Kuna watu wanaamini hata tukio la sept 11 ulikuwa mpango wa US na yale majengo aliyalipua yeye mwenyewe. Kama ni kweli kwanini Alqaeda hawakukna kuhusika kwao baada ya US kuwatuhumu kufanya hivyo.
-Kwa upande wangu naona Osama kamaliza mission aliyotumwa hivyo basi ili kumwondoa kwenye mission ndiyo likachezwa game la kuonekana kaua kazikwa baharini yani mambo fasta fasta japo huku kuna madai toka vyanzo mbali mbali juu ya kifo cha osama mapema.

Tukija kwa upande wa Nejad, inawezekana kabisa akawa agent wa US. Ngoja tuone but time will tell.
 
Mkuu,asante sana. Ni kweli ngoja tuone Nejad nae ataishia wapi. Kwa mtandao wa CIA unavofanya kazi,lolote linalowezekana.
 
Osama alipata mafunzo toka America,akwafanyia kazi na baadaye akageuka kuwa ''mtoto nunda'',walichomfanyia ni kumfundisha mtoto nunda adabu. Na si Osama tu, hata Savimbi alitumia baada ya cold war kwisha wakamtelekeza na kumu-expose hadi kifo chake.
Kwa Ahmedinejad? La hasha,huyu hawajampata na anaonekana kivuri ndio maana wanapanga kummaliza.
Akiondoka kwamba hakuna kama yeye? Wapo wengi Mkuu,chini ya Baraza la Kiislam ambao watachukua nafasi. Nani alitegemea baada ya Ayatollah Khomein atakuja mtu kama Nejad? Letz wait n see.

mbadala wa khomein sio ahmednajad mkuu.
Ni ayotolah khamanei na ndie supreme leader wa iran.
 
mbadala wa khomein sio ahmednajad mkuu.
Ni ayotolah khamanei na ndie supreme leader wa iran.

Ni kweli Mkuu,hii ni Islamic Republic,kwa hyo Supreme Leader ndio Kiongozi Mkuu. Ayatollah ni cheo cha u-supreme. Ndio maana tuna Ayatollah Ruhollah Khomein, Ayatollah Rafsanjan na marais kama Ahmedinejad ambaye ni kiongozi mkuu wa shughuli za kiserikali.
 
Mkuu,asante sana. Ni kweli ngoja tuone Nejad nae ataishia wapi. Kwa mtandao wa CIA unavofanya kazi,lolote linalowezekana.

Nejad anamaliza mda wake wa urais iran mwaka huu kama sikosei.mihula miwili ndo inaishia hio ilikua hotuba yake ya mwisho UN.
 
Back
Top Bottom