ama kweli wewe ni mpumbavu na lofa. kama hujui kiingereza siungeandika kiswahili tu. akili za mbwa hixi ni shida kweli.should thinks twice b4 there ACTIONS!
Mbona anaeleweka ? kama una nia ya kukosoa nendeni mashuleni mkafundishe, lengo kuu hapa ni kuwasilianaMkuu umefanya nimecheka sana!
Subiri wakimaliza dar watapiga hodi na Arusha, ila msilie kwamba ccm inawabomolea kwa sababu hamkuwapa kura.Hivi hawa viongozi wanafikiri Dar ndiyo Tanzania pekee??? Mbina matamko hayo na hizo X Sijazisikia mikoa kama Arusha ambayo sasa hakuna kiwanja cha wazi hata kimoja, watu wamejenga kwenye vyanzo vya maji, mitoni, nk. Lakini kila siku Dar tu!! Mnakera hili zoezi litapendeza likiwa la kitaifa na siyo Dar peke yake.
matokeo ya shule za kujifundisha wanafunzi kwa wanafunzi! anasema should thinks twices dah hadi huruma.What is this? A language similar to English or what....! Ni heri kuandika Kiswahili utaeleweka, sasa hiki sijui ndio kitu gani!!!
Inasikitisha kama viongozi wetu wataona ni busara kubomoa hotel kama double tree na majengo mengine makubwa. Wakati huu ambao kila mtu ana pambana na umaskini wengine wana ukumbatia. Serikali ilikuwa wapi hadi investment kubwa kama double tree ikajengwa?
Tena hapa huwa ni kero hasa....!!!Wakabomowe shoppers plaza na my fair plaza wabomoe na dar villa na nyumba zte zile ...eneo lile si mkondo wa maji kuelekea baharini
Ovaaaa
tihi....ukiona hivyo ujue mwenzio hajui kama hajui kwa hiyo ukishamaliza kushangaa umsaidie kunyoosha.What is this? A language similar to English or what....! Ni heri kuandika Kiswahili utaeleweka, sasa hiki sijui ndio kitu gani!!!