Eddy stany
Member
- Jan 30, 2012
- 8
- 1
Kwa ambao hamkujua,NASHERA HOTEL INAMILIKIWA NA EDWARD NGOYAI LOWASA,
Mkuu Mwanakijiji hili suala bado lina kizungmkuti: Kuna theory mbili; moja kwamba Naibu aliibiwa na mwanamke aliyeingia naye humo Hotelini. Huenda wafanyaazi walitumiana sms kwa kushangilia kwamba bwana mkubwa kapatikana. Malima mwenyewe amekanusha hilo. Sawa tumuamini.Kama ni kweli kikundi cha majambazi/wezi kiliweza kuingia kwenye hoteli yenye hadhi kubwa kama Nashera na kuweza kumuibia Naibu Waziri maswali mengi yameachwa juu ya hoteli hiyo. Maelezo yote ambayo yametolewa hadi hivi sasa yanaionesha hoteli kwenye mwanga mbaya zaidi kuliko hata Malima. Think about it. Nadhani Hoteli itabidi ijisafishe tu kwa kueleza vya ukweli kwani watu wengine mashuhuri wanaweza kuhofia sana kwenda hapo sasa...
Lakini pia inaonekana hoteli haina SOP za kuonesha wafanyakazi wanatakiwa washughulikie vipi matatizo ya wateja. Inawezekana Malima kaenda kuripoti wizi kwenye front desk (kitu ambacho pia kinachangaza kwani ningeassume angempigia moja kwa moja meneja wa hoteli) na wale vijana wa FD walipopiga simu kwa meneja wakati huo huo waka sms marafiki zao "aisee Malima kachapwa hapa". Maana nasikia taarifa za Malima kuibiwa zilikuwa zimeenea kwa watu wengi kabla hazijaandikwa magazetini for at least 24 hours.
Je, wafanyakazi wanapotoa taarifa za ndani kama hizo yawezekana ni kwa sababu hawajali ajira zao au hata taswira ya hoteli yao? au hawana hisia kuwa ni "hoteli yao"?
Kama ni kweli kikundi cha majambazi/wezi kiliweza kuingia kwenye hoteli yenye hadhi kubwa kama Nashera na kuweza kumuibia Naibu Waziri maswali mengi yameachwa juu ya hoteli hiyo. Maelezo yote ambayo yametolewa hadi hivi sasa yanaionesha hoteli kwenye mwanga mbaya zaidi kuliko hata Malima. Think about it. Nadhani Hoteli itabidi ijisafishe tu kwa kueleza vya ukweli kwani watu wengine mashuhuri wanaweza kuhofia sana kwenda hapo sasa...
Lakini pia inaonekana hoteli haina SOP za kuonesha wafanyakazi wanatakiwa washughulikie vipi matatizo ya wateja. Inawezekana Malima kaenda kuripoti wizi kwenye front desk (kitu ambacho pia kinachangaza kwani ningeassume angempigia moja kwa moja meneja wa hoteli) na wale vijana wa FD walipopiga simu kwa meneja wakati huo huo waka sms marafiki zao "aisee Malima kachapwa hapa". Maana nasikia taarifa za Malima kuibiwa zilikuwa zimeenea kwa watu wengi kabla hazijaandikwa magazetini for at least 24 hours.
Je, wafanyakazi wanapotoa taarifa za ndani kama hizo yawezekana ni kwa sababu hawajali ajira zao au hata taswira ya hoteli yao? au hawana hisia kuwa ni "hoteli yao"?
Uongozi wa hoteli bila shaka utakuwa umeshinikizwa kukubali kuharibu jina la hoteli yao kwa gharama ya kumlinda Malima.
Sijui kama watakuwa wametafakari kwa kina madhara ya ''kukubali'' kuwa hotel yao haina ulinzi hadi vibaka kujifunza kuiba.
Very true...business-wise it's bad for them
Mkuu Hapo kwenye panamaliza msala wote Jamaa kaibiwa na mtu aliyekuwa naye ndani ndo maana hakuna mtu wa kuwagusa walinzi wa hotel kwa sababu wao ndo wanaujua ukweli wote, jinsi jamaa alivyorambwa na demu. If u touch them watasanua kila kitu.Issue ninayojiuliza ni kwamba, inakuwaje walinzi wa hotel hawapo among the suspects? ningetegemea tuambiwe kwamba nao wamekamatwa na wanahojiwa! Hii picha sijui itaishiaje!
Hii nchi inaendeshwa hovyo hovyo kiasi kwamba wana siasa wanakuwa na nguvu kuliko biashara. Najua wamiliki wa hotel wanalazimika kuwa wapole kwakuwa hata eneo la hotel walipora ardhi ya jeshi la magereza na chuo cha LITI. Mi kama ukimwaga mboga tunamwaga ugali. But mwisho wa siku watu wasio na hatia, walalahoi wanaadhibiwa na kuteswa kucover uovu wa wana siasa na zinaa zao
MMM hilo wala haliwasumbui wamiliki wa hotel kwani nao wanatumikia malipo ya mshahara wa zambi.Haiingii akilini hotel kama ile mwanamke aliyeingia na mteja (Naibu waziri)atoke usiku /asubuhi sana na maegi bila walizi/wahusika kutilia mashaka.
Hawa wahudumu /walinzi walijua mchezo wote wakaacha mambo yaende kama yalivyoenda.Pia kuna suala jingine ambalo huwa hawa baadhi ya wakubwa wanajisahau kutokana na dharau zao .
Uwezekano upo kuwa huyu bwana ana tabia mbovu kama za baazi ya viongozi kuwakaripia wahudumu wa hiyo hotel /lodge kutokuwathamini,labda haachi tips.Hili linaweza pia ikawa sababu ya wafanyakazi wa hiyo hotel kumchukia na kuacha atendwe vibaya .
Hii ni fundisho kwa hawa viongozi wetu wenye tabia kama za huyu bwana.
Kwa ambao hamkujua,NASHERA HOTEL INAMILIKIWA NA EDWARD NGOYAI LOWASA,
Wala business yao haitakuwa affected! Nashera single room ni 150$ bed and bfast! Suite ni 300$ na deluxe double room ndo 200$. Wateja wao wanajulikana na hawajali publicity manake sio wa kusoma mwananchi newspaper!
Mahesabu yanajulikana hapo, ngoja tutaona maigizo part 2. Hata kama wafanyakazi walileak habari kwa waandishi wa habari, huwezi kunishawishi ati meneja wa hoteli alishindwa kukanusha ili kumlinda mteja. Kwa wanaoenda morogoro kikazi wanajua kabisa kulizwa na machangudoa ni kawaida sana na hata siku moja wakirudi hawatoi reports za kuibiwa laptop!