Ameuliza hotel ya bei raihisi lakini hajasema bei rahis ni bei gani. Kwa mfano Zanzibar Grand Palace Hotel to me bei zao ni rahisi maana pana vyumba vya dolar 150 piamkuu zbr mji wa kitalii...hoteli ya kawaida inaanzia dola 65...kwa dola hamsini vyoo vya nje
Nakushauri pale malindi ulizia Funguni Hotel wapo na viwango vizuri na bei ni kama 65,000/=
kama ni hizo hata Zanzibar Ocean view kwa Makungu atapata kwa dola 100-standard roomAmeuliza hotel ya bei raihisi lakini hajasema bei rahis ni bei gani. Kwa mfano Zanzibar Grand Palace Hotel to me bei zao ni rahisi maana pana vyumba vya dolar 150 pia
nilipenda kujua je ni hotel gani nzuri na yenye bei rahisi hapo zanzibar ..
Golf hotel anaweza akapata hata kwa 20,000 pameshuka kwa sasa iviUliza golf hotel bei ni tsh30000 karibu kabisa na gymkhana
Golf hotel anaweza akapata hata kwa 20,000 pameshuka kwa sasa ivi