Hotel ya bei rahisi zanzibar ?

mkuu zbr mji wa kitalii...hoteli ya kawaida inaanzia dola 65...kwa dola hamsini vyoo vya nje
Nakushauri pale malindi ulizia Funguni Hotel wapo na viwango vizuri na bei ni kama 65,000/=
 
Kama unataka kukaa pale pale mjini, nenda Mtaa wa Shangani (Mji Mkongwe) kuna Maszons hotel, pale utapata chumba safi kwa 50,000 tu
 
mkuu zbr mji wa kitalii...hoteli ya kawaida inaanzia dola 65...kwa dola hamsini vyoo vya nje
Nakushauri pale malindi ulizia Funguni Hotel wapo na viwango vizuri na bei ni kama 65,000/=
Ameuliza hotel ya bei raihisi lakini hajasema bei rahis ni bei gani. Kwa mfano Zanzibar Grand Palace Hotel to me bei zao ni rahisi maana pana vyumba vya dolar 150 pia
 
St Monica mkunazini karibu sana na madukani Darajani self haizidi 40 double, isiyo self single unapata hadi 15000/= (mwenzenu kasema rahisi jamani)
Grand palace ni dola 80 single na 130 double but its worth it, Mazsons sina hakika lakini ni kati ya dola 60 au 70 single
pia tembelea hizo za Shanghani ni mjini na sio bei mbaya
 
Bwawani Hotel, vyumba vikubwa kama sebule, kuanzia 35,000 unapata, tena utakuwa karibu na disko na baa ya rock cafe
 
Modern Island Hotel, Bei inaanzia elfu 24 mpaka 35 na vyumba viko poa kabisa full AC, msosi mzuri utapata Lukumani Restaurant
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom