hot(yamotoo): mobile tv ya simu za java (za bei rahisi)

Ujue unaposema inagoma unanipa wakat mgumu better sema umekwama wapi ili nijue tatizo nini

3310.jpg

NOKIA 3310 yangu ni hiyo hapo mkuu, mbona hiyo program yako inainyanyapaa simu yangu?
 
5740.jpg


Chief yangu hiyo (Nokia 3110C) nimedownload mambo yako poa ile sehemu ya Togo promo lakini channel zingine hazioneshi sehemu ya watch. Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom