Hot pots

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Jamani mimi nina ma-hot pot yamebabuka babuka tu na nilinunua bei kidogo kubwa kudhani yatakaa.
Mwenye uzoefu aniambie wapi niende nikanunue ma-hotpot ya maana mazuri yatakaoishi muda wa kutosha, hata kama bei kubwa.

Asanten
 
Labda yale ya chuma...or better yet, nunua microwave kabisa. That way unaweza chakula kwenye vyombo visivyojaa maji mle ndani na kuanza kunuka, kikipoa unapasha kirahisi.
 
Pole sana
Mie nikaenda sehemu nikaambiwa haya ni original hela yake balaa
Ndani ya miezi miwili yamekuwa kama maputo
Kha ni heri ushauri wa Lizzy
Unapasha chakula chako kwenye microwave kuepuka mambo kama hayo
Ingawa hotpot nazo zina umuhimu wake
 
Labda yale ya chuma...or better yet, nunua microwave kabisa. That way unaweza chakula kwenye vyombo visivyojaa maji mle ndani na kuanza kunuka, kikipoa unapasha kirahisi.

Lizzy,ushauri wako uko poa lakini huu umeme ulio achwa na Ngeleja siyo reliable kiasi hicho!!utakula cha baridi na microwave unayo!!
 
Reasonable tu! Ma-hotpot yanatakiwa yawe imara. Haiwezekani hot pot ndani ya miezi mi 6 limeshafumuka. Nipe. mmmh tell me sasa

umemsoma Lizzy!!wazo lake zuri!tatizo vipi kuhusu umeme wa uhakika,unao?nadha yale ya chuma ni bora!!
 
kama limevimba au kuumuka nina solution ya kutengeneza .chukua kisu,na punguza eneo lililoumuka ,kwani ni foam(kama ya godoro) ambayo huwekwa katika hotpot ili kutunza joto/baridi.kisha rudishia kama lilivyokuwa,njia hii ni effective kwa ma-hotpot ya plastiki kwenye mifuniko ,hasa ya cello.....kuepuka shida hizi nakushauri utumie mahot-pot ya chuma.,,,haya ya india ni mazuri pia,,,,,kila la kheri
 
Labda yale ya chuma...or better yet, nunua microwave kabisa. That way unaweza chakula kwenye vyombo visivyojaa maji mle ndani na kuanza kunuka, kikipoa unapasha kirahisi.

Lizzy umepotelea wapi?
 
mahotpot mengine yapo kwenye tumbo la kamuhanda, mpige bomu yatatoka mkuu! hayo yatakuwa pure original, lolest! (ol the best kwenye kupata, don hate mi kwa kuchakachua uzi wako!)
 
Nimesoma kwa makini shauri zote zilizotolewa hapo juu.

Kweli umeme ni tatizo wakuu. Nami ndo nautegemea huohuo.

Inaonekana kwamba kama nataka niendelee na mwendo wa hotpots basi nichukue ya chuma. Ila microwave, labda na ninunue na kiji-generator au solar just in case.

asanten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom