album all things bright and beautiful! jamaa wanajua sana. Young ni mlokole?.Duuh, Adam Young.
Tafuta wimbo wake unaitwa "How i became the sea", "Galaxies" ,"I left my heart in metropolis" na "In Christ Alone"
Jamaa fundi sana, yaani Owl City sijasikia sehemu wameimba matusi.
Mwenye non-stop dj mix za EDM atupie basi.
Navy Kenzo- Feel Good
live aisee! hii ngoma niliishia yule sister anapoanza kuimba kumbe mbele inabadilika.
Calvin harris - my way
Nadhani hii ndio ngoma ya kufungia mwaka
Happy New Year Fellas-2017 ni zamu yangu kuwashushia Edm kali
Malcom Lumumba, Red Giant
chaka khanAin't no body..alieimba jina cna kwa sasa