Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 771
- 387
Kati ya majipu ambayo Jiwe hayawezi Ni hizi hospital, mahakama, Tanesco.....Hawa watu Ni shiida. Usalàma waTaifa huku hawawezi kuona, maana wako busy na upinzani. Nyau wakubwa hao
hivi unafikiri kila mtu anajua derm ni ngozi?Candiderm cream Ni dawa ya fungus kwenye ngozi.
Derm Ni ngozi kitaaluma.
Mkuu hukuliona hil0?
Kama hii habari sii ya kijiweni tutajie mkoa, wilaya na kata ilipo hii siptali mengine tuachie.
Usinikumbushe jamaa mmoja aliyekua na uadui na maji chuoni alipata fungus za pale miguu inapokutana, eeh hapo kwenye ghala la kizazi kijacho. Enzi zile wanaume wanavaa chupi sio boxer. Ile ngozi ya pale mahala ikaliwa yote. Sasa ongezea joto la Dar chuoni.Tumekuelewa pole Mkuu,
lkn,Mleta mada pia jitahidi kuwa MSAFI haya mambo ya FUNGUS yanaendana na hali ya UCHAFU. Hapo hukosi chawa na Kunguni kwa hali hiyo.
Huduma za afya zimekuwa bora, bajetio tumeongeza ya kutosha kwahiyosasa hivi huduma ni bora. Usituchafulie sifa CCM
Sio Lazima uwe mchafu,unaweza kupata yeast infection ambayo nayo ni aina ya fungus na haisababishwi na uchafu hata...Tumekuelewa pole Mkuu,
lkn,Mleta mada pia jitahidi kuwa MSAFI haya mambo ya FUNGUS yanaendana na hali ya UCHAFU. Hapo hukosi chawa na Kunguni kwa hali hiyo.
Hata wewe una fungus na bacteria tofauti tu ni ecological balance btn the two haijawa disturbed. Usimuite mwenzio mchafu.Tumekuelewa pole Mkuu,
lkn,Mleta mada pia jitahidi kuwa MSAFI haya mambo ya FUNGUS yanaendana na hali ya UCHAFU. Hapo hukosi chawa na Kunguni kwa hali hiyo.
Hiyo ilikua Ni private hospitalMimi nilikuwa na vichomi upande wa kulia kwa chini tumboni,nikahisi appendix,,Dr alinipasua kunitoa appendix bila hata kunipima ultrasound..ili tu apate hela..
Mkuu Kama nakuona kwenye mapaja ulivyojaa ukurutu wa Fungus kwa kisingizio ulichotoa. Zingatia USAFI hayo maelezo yako ni porojooo. Zingatia Usafi narudia , fungus ni Uchafuuuu naongeza Sauti.Hata wewe una fungus na bacteria tofauti tu ni ecological balance btn the two haijawa disturbed. Usimuite mwenzio mchafu.
Mapaja yangu umeyaona wapi au kashfa tu?Mkuu Kama nakuona kwenye mapaja ulivyojaa ukurutu wa Fungus kwa kisingizio ulichotoa. Zingatia USAFI hayo maelezo yako ni porojooo. Zingatia Usafi narudia , fungus ni Uchafuuuu naongeza Sauti.
Ondoa neno "Hovyo" na uombe radhi.Hospital nyingi za serikali ni hovyo sana benjamin mkapa wamepeleka vipimo vya mama yangu week hii muhimbl vnavyoonesha inabid apasuliwe kichwa badala ya mguu..Mind u nikiwa UDOM nasoma niliwahi kujibzana vibaya na mhudumu wa maabara..lkn nlimkuta akiwa hospital ya agha khan akiwa mstaarabu balaa. Watumish weng wa hospital za gvt n kama huwa wanafosiwa kufanya kaz haya mambo n nadra sana hospital za private.
Ukiumwa jitahd uende private hospital unless other wise.
Na wewe naona hujui. Hata kama alikuwekea kwenye sikio bado hakukiuka maagizo ya ''for external use only''. Fungus wanaweza kuwa kwenye ngozi iliyo ndani ya sikio ambako kunahesabiwa kuwa ni external.Ndiyo maana aliniagiza na alitaka nimepelekee na yeye ndiye aliyemwekea
Bullshit...cream kama hiyo inaingiaje kwenye inner ear hata kama ni middle ear, kwa nini asimpe ear-drops, makanjanja kama nyie ndo mnatupotezea muda kusoma upupu mnaoandika humu kila siku.Anyway, dawa nzuri ya fungus wa sikio inaitwa CANDIBIOTIC EAR DROPS. Nadhani daktari aliandika hiyo kisha mtoa dawa akajichanganya. Na hayo of course ni mambo ya kawaida tu kutokea mahospitalini, iwe private au serikalini.
Inawezekana ndugu bila hata ultrasound ukagundulika na acute appendicitisMimi nilikuwa na vichomi upande wa kulia kwa chini tumboni,nikahisi appendix,,Dr alinipasua kunitoa appendix bila hata kunipima ultrasound..ili tu apate hela..