Hospitali za mashirika ya dini hupata ruzuku - Waziri

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
SERIKALI hutoa ruzuku ya sh bilioni 36.7 kila mwaka kwa hospitali 97 za mashirika ya dini nchini.

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (CCM), aliyetaka kujua ni kwanini serikali isitumie hospitali za misheni kwa kuzipa ruzuku ya dawa na mishahara ya watumishi, ili ziweze kutoa huduma bora na kwa gharama nafuu kwa wananchi.

Aidha, mbunge huyo aliihoji serikali kama iko tayari kupandisha hadhi zahanati ya Bumbile, ili iweze kuhudumia visiwa vya Bumbile, Kalebe na Makibwa vilivyo mbali na hospitali za misheni za Ndolage, Rwantege na Kagondo.

Akijibu swali hilo, Dk. Rashidi alisema ruzuku hiyo ni mbali na ile iliyotolewa na halmashauri za mashirika ya dini kutoka katika mfuko wa maendeleo na mishahara ya watumishi walioshikizwa katika hospitali hizo.

Sambamba na hilo, alisema serikali inaendelea kuboresha mazingira yatakayoziwezesha hospitali hizo ziweze kutoa huduma bora kwa wananchi kwa gharama nafuu.

“Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inasimamia ubora na viwango katika kutekeleza hili. Wizara imeweka vigezo vya utoaji huduma kwa kila ngazi,” alisema Dk. Rashidi.

Tanzania Daima | Mei 23, 2013
 
Hapo ni hospitali za kikristo tu. Aga Ghan haipewi bado inatoa huduma nzuri tu.

Gharama katika hizo hospitali zinazopewa ruzuku ni kubwa mno. Nilifanyiwa operation ya tumbo kwa tsh laki tano na thelathini nilikaa wiki moja hospitali Gharama kwa ujumla ikawa milioni 1 na laki 2 na elfu 49 .

Mzee wangu alifanyiwa operation kama yangu Amana Hospital yeye alikaa wiki 2 akalipa laki 3 na elfu 26 hapa ndio nikaona kodi zetu watanzania zimekuwa mtaji wa baadhi ya watu
 
hamna cha ruzuku wala nini,
ila ni mfumo kristo tu unaendelea, serikali inapeleka ruzuku halafu hizo hospitali zinazoitwa za kidini(si za kidini ila ni za kikristo)
gharama ziko juu kuliko hata hospitali za watu binafsi.
tukiyasema haya mtaita uchochezi, eti halafu mnakaa vikao na mamluki bakwata mnataka mitafaruku ya kidini yaishe.
hayataisha hata mfanyeje!

je hizo ruzuku CAG anakwenda kukagua?

kama laa nini kinaendelea kwa pesa za walipa kodi.
 
Sidhani kama it is an issue at all
Serikali ina sheria za PPP na Wizara ya afya ina kitengo kabisa cha kuratibu PPP na hiki kinachozungumzwa hapa ni sehemu ya PPP na cha muhimu ni usimamizi wake
 
Wanaukumbi.

Serikali hutoa Sh36.7 bilioni kama ruzuku kwa hospital za mashirika ya dini nchini kila mwaka.

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr Seif Rashidi alisema fedha hizo zinatumika katika ulipaji mishahara, dawa, vifaa, vifaa tiba na vitendanishi.

Waziri alisema ruzuku hiyo ni tofauti na inaotolewa na halmashauri za wilaya, zenye hospitali za mashirika ya dini kutoka mfuko mkuu na mishahara ya watumishi walioshindikizwa hospitali hizo, vitu vya afya na zahanati.

Hospital za mashirika ya dini zinazopata ruzuku zipo 97.

My Take...

Pamoja na kupata ruzuku mbona hizo hospitali zinafanya biashara na huduma zao zinazidi kuwa mbovu kila siku mfano Hospitali ya Bugando Mwanza na Hospitali ya KCMC Moshi.

SOURCE: MWANANCHI MEI 23, 2013.
 
si nyie mnasemaga eti mfumo kristo?? wasisitize serikali yako sikivu ya ccm ijenge hospitali kuepuka hzo gharama
 
hamna cha ruzuku wala nini,
ila ni mfumo kristo tu unaendelea, serikali inapeleka ruzuku halafu hizo hospitali zinazoitwa za kidini(si za kidini ila ni za kikristo)
gharama ziko juu kuliko hata hospitali za watu binafsi.
tukiyasema haya mtaita uchochezi, eti halafu mnakaa vikao na mamluki bakwata mnataka mitafaruku ya kidini yaishe.
hayataisha hata mfanyeje!

je hizo ruzuku CAG anakwenda kukagua?

kama laa nini kinaendelea kwa pesa za walipa kodi.
Hivi hawa waislamu wamezuiwa kuwa na taasisi zenu za kiislamu ili mpate hiyo ruzuku...mnakalia fujo na ugaidi elimu mmetupilia mbali hakika wivu ni ushetani live..Endeleeni kuifunza karate na kulipua makanisa tutakapo wachoka mtajuta
 
kuna haja ya serikali kuendelea kutoa iyo ruzuku maana bila ya haya mashirika ya dini hali ni tete
 
Hapo ni hospitali za kikristo tu. Aga Ghan haipewi bado inatoa huduma nzuri tu.

Gharama katika hizo hospitali zinazopewa ruzuku ni kubwa mno. Nilifanyiwa operation ya tumbo kwa tsh laki tano na thelathini nilikaa wiki moja hospitali Gharama kwa ujumla ikawa milioni 1 na laki 2 na elfu 49 .

Mzee wangu alifanyiwa operation kama yangu Amana Hospital yeye alikaa wiki 2 akalipa laki 3 na elfu 26 hapa ndio nikaona kodi zetu watanzania zimekuwa mtaji wa baadhi ya watu

Nenda Moi pale Mhimbili uone gharama kama unadhani kifanyiwa operation kwa alki 5 ni ghali.
Nilitegemea kuambiwa wizara inatumia sh. Ngapi kulipia matibabu nje ya nchi! Mbona hapo utalia machozi?
 
Wanaukumbi.

Serikali hutoa Sh36.7 bilioni kama ruzuku kwa hospital za mashirika ya dini nchini kila mwaka.

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr Seif Rashidi alisema fedha hizo zinatumika katika ulipaji mishahara, dawa, vifaa, vifaa tiba na vitendanishi.

Waziri alisema ruzuku hiyo ni tofauti na inaotolewa na halmashauri za wilaya, zenye hospitali za mashirika ya dini kutoka mfuko mkuu na mishahara ya watumishi walioshindikizwa hospitali hizo, vitu vya afya na zahanati.

Hospital za mashirika ya dini zinazopata ruzuku zipo 97.

My Take...

Pamoja na kupata ruzuku mbona hizo hospitali zinafanya biashara na huduma zao zinazidi kuwa mbovu kila siku mfano Hospitali ya Bugando Mwanza na Hospitali ya KCMC Moshi.

SOURCE: MWANANCHI MEI 23, 2013.

Nilijua tu lazima Ritz uje kwenye huu uzi.
Upo salama ndugu yangu?
Hivi kwanini huyu naibu waziri hajazitaja hospitali zenyewe? Au anataka kuwaaminisha watu kuwa (kama alivyokuaminisha wewe) kuwa ni hospitali za "mfumo" pekee?
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni hospitali za kikristo tu. Aga Ghan haipewi bado inatoa huduma nzuri tu.

Gharama katika hizo hospitali zinazopewa ruzuku ni kubwa mno. Nilifanyiwa operation ya tumbo kwa tsh laki tano na thelathini nilikaa wiki moja hospitali Gharama kwa ujumla ikawa milioni 1 na laki 2 na elfu 49 .

Mzee wangu alifanyiwa operation kama yangu Amana Hospital yeye alikaa wiki 2 akalipa laki 3 na elfu 26 hapa ndio nikaona kodi zetu watanzania zimekuwa mtaji wa baadhi ya watu

Nani alikwambia Aghakan haipewi? Funguka
 
Kwetu Rombo hakuna hospitali ya serikali, lakini serikali iliomba kutumia huduma za Hospitali ya Kanisa la RC iitwayo Huruma Hospital, na inatumia kutoa huduma hizo na pale kuna District Medical Officer..

Kama bajeti ya wilaya nyingine ya huduma za afya ambapo kuna hospitali za serikali zinapelekwa Halmashauri ya wilaya kisha kwa District Medical Officer Je, bajeti ya kuendesha huduma za afya za wilaya ya Rombo ikipelekwa Halmashauri ya Wilaya kisha ipelekwe wapi?

Ni mojawapo tu ya hospitali nyingi ambazo serikali iliomba kuzitumia kama hospitali za wilaya (Designated District Hospitals).

Pia kuna Basket funds kupitia Halmashauri za wilaya pia, ambazo hizi husaidia pale pote penye huduma kwa akina mama na watoto (MCH) ambazo hutolewa bure.
 
Kuepuka gharama hizo ni serikali kujenga hospitali zake na kwa wale wanaosema ni upendeleo kwa dini moja wajenge zao.
 
Hivi hawa waislamu wamezuiwa kuwa na taasisi zenu za kiislamu ili mpate hiyo ruzuku...mnakalia fujo na ugaidi elimu mmetupilia mbali hakika wivu ni ushetani live..Endeleeni kuifunza karate na kulipua makanisa tutakapo wachoka mtajuta
maneno matupu hayavunji mfupa.
 
Hivi hawa waislamu wamezuiwa kuwa na taasisi zenu za kiislamu ili mpate hiyo ruzuku...mnakalia fujo na ugaidi elimu mmetupilia mbali hakika wivu ni ushetani live..Endeleeni kuifunza karate na kulipua makanisa tutakapo wachoka mtajuta

mkuu!
mfumo kristo umepitisha MOU wakati kwa waislam OIC inakataliwa, katika issue ya elimu tutapata vp elimu wakati NDALICHAKO katumwa na kanisa kuchinja waislam.
lete hoja usikurupuke.
narudia tena kwa style hii migogoro hii ya kidini haitaisha.
 
kwa nini serikali isitumie hizo pesa kujenga hospitali zake wakati wagonjwa kwenye hospitali za serikali wako hoi.
hata panadol hakuna katika hospital za serikali.
kuna nini nyuma ya pazia
kuna nini kinaendelea?
kwa hili serikali ndio chanzo cha migogoro ya kidini.
 
Back
Top Bottom