nitonye JF-Expert Member Dec 18, 2011 7,273 3,750 Jan 9, 2012 #2 siku hizi jinsi wanavyozalishwa ubongo wao haufanyi kazi wamefanywa mazezeta yaani hapo hatawaelewi ila inatisha!
siku hizi jinsi wanavyozalishwa ubongo wao haufanyi kazi wamefanywa mazezeta yaani hapo hatawaelewi ila inatisha!
Daffi Jr JF-Expert Member Jun 25, 2011 3,825 906 Jan 9, 2012 #4 Laiti wangelijua wange'fly kama kunguru.