Hongereni .

wa home

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
233
41
hongereni mnaojivua gamba, naamini hii ni njia mojawapo la kuleta mabadiliko, kwani tumechoka, na hali ngumu ya maisha kupanda holela kwa vyakula. Mfano kiroba cha unga kimepanda na kufika 18500 wakati mchele 2800 hali hii mwananchi wa hali ya chini hawezi vyumba bei gali! Ni mateso makali, tumekuwa kama wakimbizi ktk nchi yetu, kweli vijana tujikane tulete mabadiliko yatakayotupa maendeleo ya kweli. Nawakilisha.
 
Kuikimbia CCM na kujiunga na chama kingine siyo dawa au suluhisho la matatizo ya chama au nchi. Dawa ni kubaki humo na kupambana ili kuwatoa wanaokiharibu CHAMA chetu. Hayo ndiyo mapambano ya kweli
 
Back
Top Bottom