Hongera zanzibar!!

mwanamapinduko

Senior Member
Jan 24, 2011
178
41
Nimesikia kwenye taarifa ya habari kwenye radio kuwa jina la mkurugenzi wa taasisi ya kuzuia rushwa ya zanzibar litapitishwa na baraza la wawakilishi baada ya uteuzi wa rais.
Natumaini hata huku bara wangefanya hivyo ingepunguza kiburi cha mkurugenzi wa takukuru (Edgar Hoover) ambaye aliwatunishia msuli wabunge baada ya kuonekana wanataka kumjadili akawaibulia suala la posho mbili wabunge wote wakanywea. je kwa sasa huyu Edgar Hoover si yuko juu ya bunge na mamlaka nyingine zote.
hebu tuige mfano wa zanzibar ambao wameona udhaifu huo na kuogopa kuja kuleta Edgar Hoover kwao
 
Ni utaratibu mzuri ila hakuna jipya majibu yanajulikana, huko Zanzibar ccm ina viti vingapi na ccm B ( CUF) ina viti vingapi ukipata majibu utapata kujua kwamba ni changa la macho.Uliona walichokifanya Kenya ule ndio ulikuwa mfano wa kuigwa kwenye hizi nafasi.
 
walichofanya kenya ndio mfano wa kuigwa? unajuwa kwamba mshahara wa makamo wa rais wa kenya ndio mshahara mkubwa kuliko wa kiongozi yoyote duniani? usiropokwe tu kwa chuki zako kwa kuwa huwapendi wazanzibari, inawekana wakaja kupiga hatua kuliko hata sisi huku wenye, rasilimali kibaooo ila zote wanazichukuwa wenyewe wazungu
 
Safi sana.
Na hiyo ndio demokrasia iliyokomaa na matunda ya mabadiliko ya katiba ya Zanzibar.
 
walichofanya kenya ndio mfano wa kuigwa? unajuwa kwamba mshahara wa makamo wa rais wa kenya ndio mshahara mkubwa kuliko wa kiongozi yoyote duniani? usiropokwe tu kwa chuki zako kwa kuwa huwapendi wazanzibari, inawekana wakaja kupiga hatua kuliko hata sisi huku wenye, rasilimali kibaooo ila zote wanazichukuwa wenyewe wazungu

si kweli. Makamu wa rais wa Kenya, hereby, H.E. Steven Kalonzo Musyoka, sio kiongozi anayelipwa kuliko wote duniani.
Take your time ujielimishe ndugu... Usipotoshe!
 
Back
Top Bottom