Hongera Zanzibar kuulinda uhuru wenu

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Zanzibar ni mojawapo ya nchi za Afrika ambazo zimeweza kurinda uhuru wake.Nchi nyingine ni kama Eritrea,Djibout na S.Sudan lakini nchi kama Tanganyika aka TZ BARA ilishindwa kulinda uhuru wake mpaka sasa haina serikali na dora.Kitu gani kilifanya Tanganyika ishindwe kulinda uhuru wake mpaka leo?
 
Duh, Hili linahitaji Microscope ktk ubongo ngoja kwanza nikaazime.
 
Back
Top Bottom