hongera zako PJ...kibonde nae afuate mkondo

kwani ameitwa kibonde maana ya kibonde wa elimu ? Au kimaisha? Tuangalie na majina ya kuwapa watoto wetu wasiji kuwa vilaza/vibonde
 
kwani kibonde ndo jina alopewa na wazazi au ni jina la mtaani(a.k.a)?.mia
 
Back
Top Bottom