Hongera Waziri Mkuu kupiga marufuku viroba vijana wanaafya sasa bado kubeti

yeto

Member
Aug 23, 2010
59
40
Hongera waziri mkuu kwa hatua uliyochukua ya kupiga marufuku viroba.
Vijana mtaani sasa wananawiri wananenepa wakati zamani muda wote walikuwa wembamba na wananuka pombe wakiongea ni matusi tu.

Sasa tunaomba uchukue hatua suala kubeti kwani nalo linaathiri sana vijana pesa chache wanazozalisha wanabeti na kampuni hizi zimejaa sana mitaani

10959539_788364324566741_3202067375329120997_n.jpg
 
Mchezo wakubeti mlishaambiwa na serikali yenyewe kuwa kuufungia itakuwa ngumu

Serikali inachukua kodi kubwa kwenye betting

Na mchezo wa kubeti haumfanyi mtu awe mwehu kama mnywa viroba
 
Kubet ndo knaleta aman kwa vjana kwa kuwa bz na kuangalia matokeo ya match zao, unataka wakae tu hafu waibe? Ajira zenyewe wap? Serikali inaagza kujiajiri wamejiajili bado mnaleta maneno hivi nyumbu kama nyinyi hua mnataka nn kwa vjana?

Pga marufuku mwanao sio taifa zima! Kubet wanatumia hela je wanakuomba? Kama hawakuombi ww kinakuuma nn?
 
[QUOTE="nandengele, post: 20862401, member: 345954"
Tena huyu wa 28m nilisafiri naye kutoka moro kwenda iringa tulipiga sana story. Sikutegemea kama angekuwa ana beti kwa hiyo na mimi nimeanza kubeti.
 
Ku-bet raha saana.
Mm na-bet online natulizana naandaa mkeka wangu tena nikiwa geto kwangu. Nikipata inaingia M Pesa kimyakimya.
Kuna watu hawajui napata wapi Pesa.
Sasa huyu naye anaomba makampuni yafungwe. WHY?
 
Kuna haja ya kuangalia hili swala la viroba upya mapema. Hoja ya kufungia viroba kisa vinasababisha uchafuzi wa mazingira ni ya kitoto na kiuchafu uchafu!

Uchafu ni tabia tu ya mtu, mbona karatasi nyingine hawakatazi? Mh Waziri wa mazingira hongera kwa kushinda kwenye viroba, ila ni kwamba umehamisha tatizo kutoka kwenye mazingira na kulitua tatizo kwenye wizara ya afya!

Ikumbukwe kulikuwa na wimbi la viroba feki! Watu walikuwa wanajitengenezea na Ku pack pombe hizo bila kuangaliwa ubora na viwango kutoka mamlaka husika.

Athari za kiafya kwa sisi wapenzi wa viroba ndio zitaongezeka Mara dufu hapo baadae, wahusika mpitishe macho mapema huku mtaani kuna pombe Kali za kupima! Shot's! Hizi zilizoeleka kwenye bar kubwa na vinywaji vya ghali kidogo. Ila kwa sasa hadi huku kwenye magenge duka wanapima kwa glass!....tutauziwa gongo na spirits vibaya mno.





Sent from my Device.
 
Ila jua gongo mtaani ndio wanauza.wa mama uza wamefurahi sn kwani sasa wana pata wateja wengi..
Ghalama za kwenye chupa ni kuanzia elf 3000
Wakati kwa mama muuza unapata mpaka ya jero...
Ivi nataka niulize ivi zile pombe za viroba mtaani walizitupa wapi??
Zilikua nying sn je zilichomwa wapi?..kama tuonavyo bangi wakichoma..
Bado zinauzwa kwa vificho mtaani..nadhan mpaka stock iishe
 
Huyu jamaa mwacheni kapotea njia au amekariri biblia,
Hajui uchumi wa dunia unaendeshwa kwa gambling
Kweli kabisa. Kuanzia biashara ya forex, kuuza na kunua hisa, insurance, kutoa mikopo, options and futures, zote hizo ni gambling ambazo wanacontrol risks tu... Kila kitu ni gambling...
 
Sasa tunaomba uchukue hatua suala kubeti kwani nalo linaathiri sana vijana pesa chache wanazozalisha wanabeti na kampuni hizi zimejaa sana mitaani
Mkuu, hata mie nilikuwa naona huu mchezo kuwa ni dhambi kubwa, lakini ilifika kipindi maisha yalibana nikawa sina alternative nyingine ya kupata pesa, nikasema sasa hakuna jinsi, ngoja nianze kubet. Siku ya kwanza nilikula kama elfu sabini na nikaliwa kama elfu thelasini bas, from there the rest was the history...
 
Hongera waziri mkuu kwa hatua uliyochukua ya kupiga marufuku viroba.
Vijana mtaani sasa wananawiri wananenepa wakati zamani muda wote walikuwa wembamba na wananuka pombe wakiongea ni matusi tu.

Sasa tunaomba uchukue hatua suala kubeti kwani nalo linaathiri sana vijana pesa chache wanazozalisha wanabeti na kampuni hizi zimejaa sana mitaani

10959539_788364324566741_3202067375329120997_n.jpg
MSHAHARA WAKO UNAHISI UNATOKA KODI ZA MAANDAZIII IKIFIKA TAR 25 HAMNA MSHAHARA MNAANZA KELELE HUMU KAMA VILE JF N WIZARA YA FEDHA
 
Back
Top Bottom