Hongera PJ kwa kupata degree...je utaendelea kusoma magazet?

Oct 21, 2011
20
4
Jana tu hapo co-host wa kipindi kinachobamba Tanzania nzima power breakfast amepata degree yake ya mass comm kutoka Tumaini University.,.Memberz wote wa JF tunakupongeza kwa hilo..tunataka tuone hyo degree unaifanyia nin na co kubaki tu km urembo..nina iman utakua PJ mwngne co yule msoma magazet...
congrats PAUL JAMES
 
ooops, nilidhani paka jimmy, kumbe paul james!!

hongera sana Paul James. endelea kutuhabarisha!!
 
Alidesa mara ngapi mpaka amepata hiyo degree!! Loh!
 
Hongera kwa hilo PJ, ugumu katika kutumia degree yake utatokana na Clouds Media House Policy , kumbe kama policy itakupa uwanda na uhuru mpana hakika tutafaidi matunda yake na hata kama ni katika kutusomea magazeti utasoma bila kuchagua zipi za kusoma.Ikumbukwe kazi ya kusoma magazeti ni nyeti sana sawa kusoma taarifa za habari ili jamii ihabarishwe. Vinginevyo utaona afadhali hata usingekuwa na degree pale utatekeleza interests tu za Clouds bila kujali Umma, nadhani PJ atanipata katika hili. Hongera sana!
 
Jana tu hapo co-host wa kipindi kinachobamba Tanzania nzima power breakfast amepata degree yake ya mass comm kutoka Tumaini University.,.Memberz wote wa JF tunakupongeza kwa hilo..tunataka tuone hyo degree unaifanyia nin na co kubaki tu km urembo..nina iman utakua PJ mwngne co yule msoma magazet...
congrats PAUL JAMES
Umekuwa msemaji wa JF sio? Sio wote wanampongeza!
 
ooops, nilidhani paka jimmy, kumbe paul james!!
hongera sana Paul James. endelea kutuhabarisha!!

Nami pia nilivyoona title nikajua ni Paka Jimmy, mh! Hapa sasa sina budi bali ni kumpongeza huyo Paul James maana amefanya jambo la mbolea. Hongera sana PJ.
 
Jana tu hapo co-host wa kipindi kinachobamba Tanzania nzima power breakfast amepata degree yake ya mass comm kutoka Tumaini University.,.Memberz wote wa JF tunakupongeza kwa hilo..tunataka tuone hyo degree unaifanyia nin na co kubaki tu km urembo..nina iman utakua PJ mwngne co yule msoma magazet...
congrats PAUL JAMES
memberz wote JF!!!
 
Hongera Paul James, tunatarajia mabadiliko ktk utendaji wako wa kazi. Big up!
 
Back
Top Bottom