Hongera ndugu Ibrahim Lipumba

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Nakupa sana Hongera Lipumba kwa nafasi mpya Duniani kuongoza harakati za Uchumi.CCM walikuona huna maana ila Dunia kila siku ina waumbua .Hongera sana na achana na KAFU hawa wanapoteza muda waache watafute mwenyekiti mwingine au Maalim awe Karibu Mkuu na Mwenyekiti Mkuu
 
Nafasi gani na wapi?
 
Lipumba sio ndugu ni Profesa.

Ni vizuri ukimwita Prof Ibrahim Haruna Lipumba. Kwa wachumi waliosomea UDSM wanamtambua vizuri sana umuhimu katika masuala ya uchumi na kusaidia jamii.
 
Mbona mie akija Tabora huwa namwita Kaka?

Sasa Profesa ndiyo undugu gani huo? Kwenye familia yetu hatuitani jina hilo.
Lipumba sio ndugu ni Profesa.

Ni vizuri ukimwita Prof Ibrahim Haruna Lipumba. Kwa wachumi waliosomea UDSM wanamtambua vizuri sana umuhimu katika masuala ya uchumi na kusaidia jamii.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mbona mie akija Tabora huwa namwita Kaka?

Sasa Profesa ndiyo undugu gani huo? Kwenye familia yetu hatuitani jina hilo.
Kaka, huu ulimbukeni wa watz sa zingine huwa unanishangaza kweli, tena wengine wasomi tu lakini unaona bado wana huu ulimbukeni wa titles! Hata 'mkuu wa kaya' nae ana hili tatizo.
 
Mbona mie akija Tabora huwa namwita Kaka?

Sasa Profesa ndiyo undugu gani huo? Kwenye familia yetu hatuitani jina hilo.

wasikudanganye mwayego! lipumba ni bachela bado hajaoa, akioa atapata mastas akijukuu atapata kauprofesa.......
 
Kwa msiojua ni kweli amechaguliwa kua Mwenyekiti wa wachumi Duniani wakati huo akilipwa paundi 3000 kwa wiki,amepewa nyumba ya kuishi na kapewa,usafiri na watu wa Usalama kumtizama hizo ndio taarifa nilizonazo kutok
 
Tatizo letu watanzania tuna wivu,roho ya kwanini,majungu,hatutaki kukubari na kuwatumia wasomi wetu ilimradi tu tukishaelewa kuwa wapo kinyume na matakwa yetu

mimi nilikuwa sioni sababu ya kutomtumia prof lipumba eti kwa sababu ni CUF,nilidhani tungeweka siasa pembeni na kuwatumia watu wetu ipasavyo kwa maendeleo ya Taifa hili kama wafanyavyo nchi za wenzetu

HONGERA Prof

[h=1]Prof. Ibrahim Haruna Lipumba[/h]
Ibrahim%20Cropped%20Photo.jpg
[h=2]Tanzania[/h][h=3]"Building Institutional Frameworks that Support Democracy and Economic Development in Tanzania"
Reagan Fascell Democracy Fellow: Oct 2011 - Feb 2012[/h]Dr. Ibrahim Haruna Lipumba has served since 1999 as national chairman of the Civic United Front (CUF), a liberal political party in Tanzania with strong support in Zanzibar. Although he is from mainland Tanzania, Dr. Lipumba has run for president on the CUF ticket four times (1995, 2000, 2005, and 2010), representing the CUF in negotiations with the ruling party to resolve the political crisis in Zanzibar through a power-sharing agreement. Before he entered party politics, Dr. Lipumba was a professor of economics at the University of Dar es Salaam (1983–1996) and a Fulbright Visiting Professor at the Center for Development Economics at Williams College (1993–1995). He has been a consultant to the World Bank, the United Nations Development Programme, and various other organizations. During his fellowship, Dr. Lipumba plans to examine the evolution and structure of governance institutions in developing countries with functioning democracies, in order to draw lessons for building more accountable institutions in Tanzania.
 
Binafsi nimefurahi sana.Kuna siku Mh. Mbowe aliwasha moto bungeni akimwambia waziri mkuu amshauri raisi wale wasomi waliobobea wa tanzania serikali iwatumie. akasema ni aibu kuwaacha hawa watu wakachukuliwa na mahirika ya nje halaf serikali inawanga'ang'ania wakina Ngeleja wakati hawana elimu ya kazi wanayoifanya. Nadhani kwa mfano huu wa Lipumba, JK atafumbua macho.
 
Slaa amechaguliwa katibu wa baraza la MAASKOFU duniani, Hongera!
 
Wasomi wazuri nchi hii wako wengi, tatizo la Jakaya ni kule kuogopa kuwa karibu nao anaodhani watakuwa challenge kwake!! Kama Rais angeweza kuwatumia hawa wasomi vizuri sana lakini kwavile anaingiza siasa wale ambao anadhani hawakumuunga mkono 2000 ingawa ni wasomi wazuri hana habari nao which is his main weakness. Wenzie wenye busara wanasahau yaliyopita na kuganga yajayo katika kujenga LEGACY!!
 
Kwa msiojua ni kweli amechaguliwa kua Mwenyekiti wa wachumi Duniani wakati huo akilipwa paundi 3000 kwa wiki,amepewa nyumba ya kuishi na kapewa,usafiri na watu wa Usalama kumtizama hizo ndio taarifa nilizonazo kutok

Usiulize Tz imekufanyia nini,jiulize umeifanyia nini tanzania. Tumuulize Lipumb kaifanyia nini TZ? Sio kupongeza na kusifu ujinga tu.
 
..mara ya mwisho nilisikia Prof.Nguyuru Ibrahim Haruna Lipumba alikuwa yuko National Endowment for Democracy[NED] in Washington DC.

..kwa kweli inatia wasiwasi kuhusu umakini wa chama cha CUF ukizingatia kwamba Mwenyekiti wake ameamua kutafuta ajira nje ya nchi.

..hapa chini ni maelezo mafupi kuhusu shughuli za National Endowment for Democracy[NED]

About NED

The National Endowment for Democracy (NED) is a private, nonprofit foundation dedicated to the growth and strengthening of democratic institutions around the world. Each year, NED makes more than 1,000 grants to support the projects of non-governmental groups abroad who are working for democratic goals in more than 90 countries.
Since its founding in 1983, the Endowment has remained on the leading edge of democratic struggles everywhere, while evolving into a multifaceted institution that is a hub of activity, resources and intellectual exchange for activists, practitioners and scholars of democracy the world over.
A Unique Institution

NED is a unique institution. The Endowment's nongovernmental character gives it a flexibility that makes it possible to work in some of the world's most difficult circumstances, and to respond quickly when there is an opportunity for political change. NED is dedicated to fostering the growth of a wide range of democratic institutions abroad, including political parties, trade unions, free markets and business organizations, as well as the many elements of a vibrant civil society that ensure human rights, an independent media, and the rule of law.
This well-rounded approach responds to the diverse aspects of democracy and has proved both practical and effective throughout NED's history. Funded largely by the U.S. Congress, the support NED gives to groups abroad sends an important message of solidarity to many democrats who are working for freedom and human rights, often in obscurity and isolation.
The Endowment is guided by the belief that freedom is a universal human aspiration that can be realized through the development of democratic institutions, procedures, and values. Democracy cannot be achieved through a single election and need not be based upon the model of the United States or any other particular country. Rather, it evolves according to the needs and traditions of diverse political cultures. By supporting this process, the Endowment helps strengthen the bond between indigenous democratic movements abroad and the people of the United States -- a bond based on a common commitment to representative government and freedom as a way of life.
Bipartisan and Transparent

From its beginning, NED has remained steadfastly bipartisan. Created jointly by Republicans and Democrats, NED is governed by a board balanced between both parties and enjoys Congressional support across the political spectrum. NED operates with a high degree of transparency and accountability reflecting our founders' belief that democracy promotion overseas should be conducted openly.
We post information about all of our grants and activities on this Web site and are subject to multiple layers of oversight by the US Congress, the Department of State, and independent financial audit.

Usiulize Tz imekufanyia nini,jiulize umeifanyia nini tanzania. Tumuulize Lipumb kaifanyia nini TZ? Sio kupongeza na kusifu ujinga tu.

Ndugu yangu serikali hii haitaki kuwatumia watalaam wake kwa hyo unafikiri swali lako liko relevant hapa? Wewe umeifanyia nn Tanzania?
 
nafikiri ccm na serikali iliyopo madarakani wana kitu cha kujifunza hapa....!
 
Kwa msiojua ni kweli amechaguliwa kua Mwenyekiti wa wachumi Duniani wakati huo akilipwa paundi 3000 kwa wiki,amepewa nyumba ya kuishi na kapewa,usafiri na watu wa Usalama kumtizama hizo ndio taarifa nilizonazo kutok

Kwa tusiojua wakati na wewe hujui. Mwenyekiti wa wachumi duniani maana yake ni nini? Chombo kinachowaunganisha wachumi waliomchagua Prof. Lipumba kuwa mwenyekiti wao kinaitwaje? Web address? Details za hayo marupurupu umezipata kwa Prof. Lipumba? I would appreciate it a lot if you could come out a little more complete rather than in pieces. Thank you.
 
Back
Top Bottom