Hongera Mh.William Vangimembe Lukuvi

Lukuvi mzee wa kanuni ya 68.hana lolote isman ndio maskini wa kutupwa kwa mkoa wa iringa,lukuvi kafanya nini?hakuna kapita bila kupingwa 2015.
 
Nitafuata nyayo zake Iringa mjini
Na nitaanza kutekeleza ahadi za msigwa kwanza kabla sijatoa zangu

Teheteheeee kweli siasa imevamiwa Iringa, Bila ushabiki, kwa umri wangu huu sijawahi kuona mbunge machachari jimbo la Iringa kama Mh;Msigwa tangu enzi za chama kimoja. Kilisi nawe unataka kwenda pale Iringa kwa wanyalu wenzio? Kuna yule dada Jesca Msambatavanu (M/Kiti sjui wa CCM IRA) Kuna Mwakalebela nae ameapa kurudi tena, Kuna yule jamaa mwenye kiwanda cha maji Ndanda, kuna Mh Ritha Kabati, Kuna kijana mmoja machachari MNEC, kuna Mama Mbega.. Hongereni sana naiona njia nyeupe kwa \Mh Msigwa kutokana na minyukano yenu.
 
Nikiwa kama mdau wa siasa za Iringa,naomba nichukue nafasi hii kumpongeza Mh.Lukuvi kwa juhudi zote anazozifanya katika Bunge la JMT...Akiwa kama Mnadhimu kwa upande wa Serikali,ameonyesha kuimudu vyema sana nafasi hiyo,amecontrol jazba na nidhamu ya wabunge wa upande mwingine,ameonyesha weledi mkubwa wa hekima na busara akitofautiana na mnadhimu wa upande wa pili
Kama umelifuatilia Bunge utakubaliana na mimi kuwa huyu Mh. ameonyesha kujua sana kanuni za bunge,kujenga hoja na kujibu miongozo na hoja ya wabunge wanaokurupuka...hakika Vangimembe unawakilisha...bila unadhimu wako Bunge lingetawaliwa na wahuni wanataka kumtukana Rais hata billa sababu...
Kwa wanaofuatilia siasa za Iringa Jimbo la MH.LUKUVI haliwahi kuguswa na upinzani sbb ISIMANI watu wanaipenda CCM na CCM imewafanyia mambo mengi sana,hata DR KAPWANI alipojaribu kugombea kwa tiketi ya CHADEMA allishia kukimbia dakika za mwisho mana wana ISIMAN walimwambia hana chake na CHADEMA yake,wao wako na LUKUVI toka 1995 na wameahidi tena kumpa 2015...
Nenda Pawaga,Idodi,Lwang'a,Izazi mpaka Migoli..huku kote ni maendeleo ya CCM na MH.LUKUVI..Ameleta maji na sasa barabara inajengwa kwa kiwango cha lami toka Iringa-Lwang'a-Izazi-Migoli hadi Dodoma...Siasa safi na maendeleo aliyoleta Mh.LUKUVI yamefanya CHADEMA wasikanyaga kabisa ktk Jimbo la ISIMAN mana hakuna watalaosema,ndio maana ktk mkoa wa Iringa ndo Jimbo pekee ambalo si Mbowe wala Padre Slaa aliwahi kukanyaga,mana wanajua hawana chao,hata pale Iringa mjini ni vile Mama Mbega hakuwa chaguo lao..wao walimtaka Mwakalebela..2015 Mchungaji Msigwa atarudi kwenye mradi wake wa kanisa,wana Iringa hawahitaji tena siasa za maandamano bila maendeleo.
Jimbo la Isimani litaendelea kuwa mikononi mwa CCM sbb ya maendeleo walioletewa na CHAMA CHA MAPINDUZI
..HONGERA SANA WILLIAM VANGIMEMBE MWALUKUVI :yo::second:

Unamdanganya nani? Huko Pawaga, Idodi na Izazi wanachi wake ni maskini kabisa. Inakusaidia nini kusema uongo na kumsifia mtu kwa jambo asilostahili au ndio mambo ya kutumwa?
 
[/B][/COLOR]
Isingekuwa sera nzuri ya CCM hata hiyo lugha ya mkoloni uliyotumia kuweka msisistizo usingeijua..tatizo lenu CHADEMA imewapandikiza chuki kiasi mnaona kama CCM haijafanya lolote...wewe unajua maendeleo ya Jimbo la ISAMAN yaliyoletwa na Ccm au unabisha tu

Bila shaka wewe umetumwa kabisa kabisa, na hapa c mahali pako. hatutaki watu wanafiki. Vijana kama nyinyi ndie mtakayo kuja kuiuza nchi hii.hiv huogopi hata unapoisifia Chukua Chako Mapema maana kuiongelee hii kwa siku hizi unatakiwa uwe na moyo kama wa mwendawazimu hivi
 
Back
Top Bottom