BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,507
- 11,883
Napenda kumpongeza mhe Magufuli kwa uamuzi wake wa kugawa samaki kwa wanaostahili bure.Amekaa akakumbuka kuwa serikali kazi yake si biashara!huo ndio utawala bora na mfano wa kuigwa katika maamuzi.Nakumbuka hata kazi za ukandarasi huyu bwana alikua akisaidia JKT kupata tenda nyingi za serikali.Hapo rushwa inakua zero maana.TOFAUTI NA MAFISADI TENDA HUWAPA WAHINDI NA MAKABURU hivyo pesa haimfikii mtanzania halisi.Mfano hai kwa nini TIPER haikupewa tenda ya kuleta mafuta ya IPTL na kustaajabisha mafuta hayo hayo yamehifadhiwa sasa kwenye tenki za TIPER baada ya deal kukamilika na TOTAL.SI WANGEHIFADHI HAO HAO TOTAL WALIOANDAA CHAKULA?Kisa Ukitaka kula muhimu ushirikiane na mfanyabiashara si taasisi ya umma cheque itatokaje!