Hata mimi sijilaumu. Nilichagua vizuri kabisa. Nina diwani wa CUF na mbunge wa CUF jimbo la Kinondoni. Kidogo tungezoa Dar Es Salaam yote. Naamini tumepiga hatua. Ninatamani hawa wa UKAWA waliopata nafasi wafanye kazi mpaka basi. Kwa wingi wa madiwani tuliopata wana uwezo wa kuchagua mameya wote pamoja na meya wa jiji. Natamani wachape kazi hasa. Ili 2020 tuzoe jiji zima. Pamoja na kuendelea kuimarisha harakati huko mikoaniMimi kura yangu haijapotea.Nina Diwani,Nina Kubenea,Thanks to Ngoyai.Hongera mimi, hongera CDM, hongera UKAWA.Pipoooooooooooooozzzz