hongera kwa wababa wote wa JF

Dah!!! Mimi sio mume wa mtu sasa sijui lini nitakuwa mume wa mtu lakini chauro all in all thanks for this useful post

mmmhh sijajua ukiingia huku kwenye JF
unananikana mie a watoto ..
mmmhhh leo ndo utaona cha mtema kunde ..
hahahaha lol

mambo vipi lakini ??
 
mmmhh sijajua ukiingia huku kwenye jf
unananikana mie a watoto ..
Mmmhhh leo ndo utaona cha mtema kunde ..
Hahahaha lol

mambo vipi lakini ??

usijali si bado hatujafanya official, hakuna anayekuibia lol!!!!!!!!!
 
CHAURO, Tenks sana sana, wajua ni watu kidogo sana kama wewe watoao shhukran, kwa jamaa walio bado hai, wengine wengi wangojea uko ndani ya sanduku ndio......oooh fulani ....ooh ....pengo.......

Wanaume tujikaze mwakani, tupunguze ukali wa macho, nguvu tuongeze kazi na sio kwenye majamboziii!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nilifikiri hilo huwa hawalitambui wadada!
Nimefurahi kusikia hivyo,2simame pamoja 2jenge familia ze2 next year!
Maisha ni kusaidiana, MUNGU 2bariki mwaka 2011!!!!
 
Poa kabisa X-mass imeanza kunipoteza taratibu aisee

mmmhh hilo nimegundua siku nyingi sana...
lakini usijali hauko mwnyewe..
kwa kweli mpaka mwaka mpya uanze ndo tutarudi huku kwa nguvu zote tena ..
lakini kwa sasa ni balaa tuu.
 
mmmhh hilo nimegundua siku nyingi sana...
Lakini usijali hauko mwnyewe..
Kwa kweli mpaka mwaka mpya uanze ndo tutarudi huku kwa nguvu zote tena ..
Lakini kwa sasa ni balaa tuu.

long island ice tea and tequilla
 
hahahahh lol that is wht i need right now..
haya tayarisha hiyo blender ngoja mi nilete viungo tutengeze cocktail zatu....lol

Haya usisahau kuja na triple sec, light rum, gin, vodka, tequila, sour mix, cola na lemon wedge for garnish
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom