Hongera kwa mfumo wa patriot, umeshusha chini mizinga ya hypersonic sita za Mrusi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,675
48,451
Kyiv haipigiki, ptriot ipo imara....

Six hypersonic Russian missiles were shot down over Kyiv on Friday, the Ukrainian air force has claimed.

The Kinzhal missiles were accompanied by a further six Kalibr cruise missiles and two drones, which the air force further stated had also been downed.

Kinzhal translates to “dagger” in Russian. One of the latest weapons utilised by Moscow, the Russian military claims that the air-launched ballistic missile has a range of up to 2,000 kilometres (approximately 1,250 miles).

Flying at 10 times the speed of sound, they are hard to intercept, with Russian president Vladimir Putin previously labelling them “undefeatable.”

A combination of hypersonic speed and a heavy warhead allows the Kinzhal to destroy heavily fortified targets, like underground bunkers or mountain tunnels.

Warusi wa buza wamepiga kelele weeee! Mwisho nadhani tutakubaliana kwamba mwarobain wa hypersonic missile umepatikana
Mwarobaini utoke wapi?? tufafanulie kwa kinadhalia na kivitendo vya kifisikia jinsi jeshi la Ukraine specifically Patriot inavyo weza ku-intercept na ku-destroy Russian Kinzhal missiles, how can a supersonic missille intercept a hypersonic and an erratic flight profile missile like Kinzhal?? Wanao amini hivyo bado wanasumbuliwa na ndoto za mchana, Kinzhal still is and will remain a Mega beast to almost all western military stuff - take it or leave it Up2U.
 
Hao ni sawa na Mwanake mjane Siku zote uongea Maneno ya KUMFARIJI. Mm Siku hizi hata post zao sisomi kivile maana nyingi ni propaganda
 
The so called Hypersonic Missile maintains its hypersonic velocity immediately after being launched but the speed decreases on entering the atmosphere when it descends to supersonic speed something that's makes it vulnerable to interception by patriot air defense system, so this is what happens.

Moreover, interception of even these bleeding-edge weapons isn't impossible. Existing missile defenses can already intercept missiles traveling far faster than HGVs or HCMs, and could be adapted to intercept hypersonic missiles as well. So the world has no miracle weapon.
 
Hao ni sawa na Mwanake mjane Siku zote uongea Maneno ya KUMFARIJI. Mm Siku hizi hata post zao sisomi kivile maana nyingi ni propaganda
Well said mkuu, hata heading ukiisoma imekaa kitoto toto mno - na huyu jamaa amekubuhu sana katika masuala kujaribu ku- dilute masuala ambayo ni dead serious hasa silaha za Urusi zikizidi kete silaha za mayankee zikatiwa kiberiti - kesho yake anakujia na story mbadala ambayo haina kichwa wala miguu - yuko obsessed na Putin and everything Russian.
 
Kaa kwa kutulia, mpaka sasa Patriot zipewe heshima yake,huwezi zilinganisha na yale mapipa ya s.400 ya Mrusi, yalipewa sifa nyingi ila yaliishia kupigwa na drones za watoto wa Ukraine.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mbona tunasikia walikumbwa na milipuko hadi hao viongozi wa afrika walikimbilia kwenye maandaki
 
Mwarobaini utoke wapi?? tufafanulie kwa kinadhalia na kivitendo vya kifisikia jinsi jeshi la Ukraine specifically Patriot inavyo weza ku-intercept na ku-destroy Russian Kinzhal missiles, how can a supersonic missille intercept a hypersonic and an erratic flight profile missile like Kinzhal?? Wanao amini hivyo bado wanasumbuliwa na ndoto za mchana, Kinzhal still is and will remain a Mega beast to almost all western military stuff - take it or leave it Up2U.
Wewe mswahili, proPutin mwenye akili fupi ndio unafikiri Kinzhal inayodaiwa kuwa hypersonic ni alpha na Omega wa silaha duniani. Sasa unaonyeshwa ambayo hupendi kuyaona na mifumo ya West unabaki kupiga porojo tu na kujifanya mtaalamu uchwara.
 
Kyiv haipigiki, ptriot ipo imara....

Six hypersonic Russian missiles were shot down over Kyiv on Friday, the Ukrainian air force has claimed.

The Kinzhal missiles were accompanied by a further six Kalibr cruise missiles and two drones, which the air force further stated had also been downed.

Kinzhal translates to “dagger” in Russian. One of the latest weapons utilised by Moscow, the Russian military claims that the air-launched ballistic missile has a range of up to 2,000 kilometres (approximately 1,250 miles).

Flying at 10 times the speed of sound, they are hard to intercept, with Russian president Vladimir Putin previously labelling them “undefeatable.”

A combination of hypersonic speed and a heavy warhead allows the Kinzhal to destroy heavily fortified targets, like underground bunkers or mountain tunnels.

Zungumza ya kwako yenye mantiki, huna haja ya kurudia rudia specs za za wana sayansi wa Urusi walizo wahi kueleza Dunia jinsi Kinzhal inavyo fanya kazi na Ilivyo vigumu kun intercept, sasa nyinyi na ubishi wenu endeleeni kuishi kwenye virtual World yenu ya kudhani Kinzhal inaweza kutunguliwa kirahisi na a hyped Patriot ADS ambayo imewahi ku-fail miserably mara nyingi tu, hata Waisrael na Wajerumani hawana tena imani nayo.

Yaani mpaka leo bado unaendelea kuwa na imani na majenerali wa Ukraine ambaobwakati mwingine usema walifanikiwa kutungua missiles 200 kati ya 50 zilizo rushwa kutoka Urusi, sasa mtu unabaki unajiuliza maswali mengi hivi missiles 150 extra zilitokea wapi tena!!! Ukweli ni kwamba majenerali wa jeshi la Ukraine na washauri wao wa magharibi wanatumia media zao kikamilifu kuwazuga raia wao kwa kupitia mbinu za propaganga - za kudai Ukraine is winning wakati watu na busara zao wanajua kwamba ukweli wa mambo Ukraine kama taifa linateketea na raia wake hasa vijana kuangamia kwa kulazimishwa na Zelensky kwenda frontline kupigana wakati Zelensky na Majenrali wake wakijua wazi kwamba vijana hao hawana uzoefu wa kutosha kupigana vitani, wanatolewa kafara na binadamu mkatiri kama Zelensky ili kufurahisha watawala wa USA katika foreign policy zao za kutaka kuitumia Ukraine kuikomesha Russia - sasa mambo yanawagehuka akina Zelensky, Biden na NATO wamekuwa caught in a quagmire - aibu tupu.
 
Wacha hasira sheikh, naona unamzidi Putin kwa hasira, hiyo midoli ya kinzal tumepiga 13 sasa kwa kutumia patriot za miaka ya 90s

Hakuna cha hasira wala nini sijui,, mimi upenda sana kuwa mkweli na sio kuleta propaganda za maji taka - hamjawahi kutuletea hapa picha moja genuine ya kuthibitisha madai yenu ya Alinacha - niliwahi kumuona. Mayar wa Kiev Vitalis ameshikilia kinyago cha concrete moulded stuff kikiwa na tundu la risasi akidai kwamba hicho kinyago hicho kiltunguliwa na Patriot ADS za Ukraine - hata aibu ya kusema uongo hawana kabisa wanafikiri kila mtu ni hamnazo.
 
Povu mpaka kesho, Mrusi hana kete nyingine, patriot zimepiga chini kinzal 13 hadi sasa.
 
Back
Top Bottom