mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,679
Hongera JK na Waziri wa wakati huo wa ujenzi. Dau apewe pongezi ya nini sasa!?
Tunashangilia wasababu amefunga goal ila hapongezwi.Hujui maana ya neno pongezi,jukumu la mshambuliaji uwanjani ni kufunga goal akifunga kwanini tunamshangilia kwa pongezi za hali ya juu?
Labda nikupe assgnment ukatafute maana ya pongezi,muda wa kufundisha sina.Tunashangilia wasababu amefunga goal ila hapongezwi.
Hakika una wajua Watanzania.Namimi iko siku ntakuwa mkuu katika nchii hii, piga dili mwanzo mwisho ukikaribia kutema funguo za white house unamalizia na barabara ya kilomita 5, tuone wasikuabudu kwa kukushukuru na kukisahau kile ulicho watendea.
Kweli kabisa na wao pia wata wakumbuka sana tu.JK na Dr. Dau ! tutawakumbuka sana!.. UDOM , KIGAMBONI BRIDGE SIO DOGO HILI
Chuki kutamani uongozi wastail ya kitanzania?, huwi na mapungufu hadi kwenye mali za uma, unachekesha sna ww, familia yako imo nn kwenye kundi la waongoza nchi?.Hata nyerere hakua msafi 100%nae alikua na madhaifu yake,sio yeye tu wote waliofuatia nao wanamapungufu yao,hata mwenyekiti wenu nae anamapungufu yake ya kiuongozi,acha chuki.
Umeonaeeee!Hongera JK huku Msimamiz Mkuu Dr Dau mnamtukana...wanadam viumbe wa ajabu sana
Hakika wana kigamboni na viunga vyake watakukumbuka daima,leo nimesema nifanye ziara fupi ya kushtukiza nilichokiona nimefurahi na kufarijika sana na kwa mwendo huu TZ yangu naiona inapaa,itakua si busara kuacha kukupongeza mh wetu pamoja na yote tunayoyasikia lakini ulikua na nia ya dhati ya kuwasaidia watanzania,hongera sana kwa niaba ya wapenda maendeleo.
Ili uonekane great thinker ni vema ukaweka takwimu za kuonyesha hali ya ajira alipoingia na alipotoka na mambo mengineyo unayoyaamini. Hapo utatuwezesha na sisi kupima.Hata mimi ningekuwa rais kwa muda wa miaka kumi ningeweza kujemga hilo daraja. Yaani miaka kumi yote mtu anasifiwa kwa kujenga daraja! Watanzania kweli tuko nyuma. Amefanya nini kuongeza ajira, uchumi, huduma za afya, kuzuia mfumuko wa bei, kupunguza rushwa, kuendeleza viwanda na kilimo.
Huu ni wajibu wao sio offer ila bado ukweli utabaki kuwa mpunga uliopigwa Escrow ungejenga madaraja mangapi bila kusahau ununuzi wa ardhi kwa 800 millioni kwa kiwanja kimoja.hapa segerea tu ndiyo ilikuwa halali yao ili liwe funzo kwa wengine wa hii dizainiJK na Dr. Dau ! tutawakumbuka sana!.. UDOM , KIGAMBONI BRIDGE SIO DOGO HILI
Huu ni wajibu wao sio offer ila bado ukweli utabaki kuwa mpunga uliopigwa Escrow ungejenga madaraja mangapi bila kusahau ununuzi wa ardhi kwa 800 millioni kwa kiwanja kimoja.hapa segerea tu ndiyo ilikuwa halali yao ili liwe funzo kwa wengine wa hii dizaini
mradi mzuri lakini wamepiga hela refu kupindukia. dr. dau na wenzake inabidi waeleze kwa nini bei kubwa ya kutisha kama hawajakula mpunga.
Ni kweli, JK tunahaki ya kumpongeza,, kwani hata hiyo flyover ya tazara ni kiporo chake, pia tumesahau pale uwanja wa ndege JKNA.
Sijui nikufananishe na nani?shule gani uliyosoma we popoma?ubongo wako umejaa kamasi tupu,escrow yenyewe hata huna unachojua,kikwete kwa taarifa yako kaikuta kama magufuli alivyoikuta,unataka kujua ni ya nani?rudi shulethe vasco da gama the fisadiz of my kodi and fedha za masikini.
bilion 320 za escrow zingejenga km 320 za barabara kwa kiwango cha lami! but the jizi No 1 & his genge wamekwiba zoooote!! eti leo mtu na akili zake kabsaa anajitoa ufahamu kwa makusudi! eti asante naninani sijuwi! si bure we utakuwa hulipi kodi ndo maana hujuwi hata hela ya daraja imetoka wapi! otherwise mirembe inakuhusu!!