Hongera Kijah Yunus wa Clouds TV

Ni mfiwa ama?
Hajafiwa ni Binti anayepambania maisha yake...ana taasisi ameanzisha Inaitwa Binti Lindi Initiative so Leo alikuwa na shughuli Anazindua taasisi na Mgeni ni Waziri Mkuu K.Majaliwa....so nimeipenda Kija alivyotoa speech yake....nikasema nimsifie asikie nisikae nacho moyoni maisha ni mafupi mno....
 
Nimekuangalia Leo live kupita clouds tv kwenye Binti Lindi Initiative..umeongea Kwa kujiamini , umeongea Kwa nukta umetuliza akili yaani katika asilimia 100 nimekupa 99.....hongera Mamy....#tupeane maua tukiwa hai.Hongera Kija Yunus.
Picha tumuone
 
Huyu kuna wilaya anaandaliwa just chill n wait muda utaongea. Pale Clouds360 pana kismati sana, watangazaji kadhaa wametolewa pale saizi wanalamba asali, I think Kija is the next.
 
Tena anatafuta muda na kwa nguvu zote.
Ila wenzake walitoka mwache apambane.
Nafasi yake ilikua ni ile aliyopewa yule dogo..nani yule...vile...yule...sijui ...nani nani nani ...yule jamaa mara achape wanafunzi viboko...yule jamaa mkorofi mkorofi hivi...

Ewaaaah nshamjua...."SIMALENGA"....

Aaah huyu jamaa si Mama SAMIA amtoe tu!!Aaah .....anaboa sana!!!!
 
Huyu kuna wilaya anaandaliwa just chill n wait muda utaongea. Pale Clouds360 pana kismati sana, watangazaji kadhaa wametolewa pale saizi wanalamba asali, I think Kija is the next.
Kwakweli kina Hassan Ngoma....Kuna kakismart Fulani siyo siri
 
Picha tumuone
Kula chuma hiko.........

mwamba huyo apo... tantataaa tantataaa
FIfAFNmXEAEJyrO.jpg
 
Nafasi yake ilikua ni ile aliyopewa yule dogo..nani yule...vile...yule...sijui ...nani nani nani ...yule jamaa mara achape wanafunzi viboko...yule jamaa mkorofi mkorofi hivi...

Ewaaaah nshamjua...."SIMALENGA"....

Aaah huyu jamaa si Mama SAMIA amtoe tu!!Aaah .....anaboa sana!!!!
Jamaa hajasoma alama za nyakati sijawahi mwelewa hawezi kuongea polite language kabisa hata mara Moja ...nyodo ziko juu sana ana Kaliba ya kina Fulani waliotemwa na bahari shauri ya nyodo...na kujiona miungu watu
 
Clouds media wako vizuri, hawabani wafanyakazi wao kwenye shughuli zao nje na kazi walizoajiriwa nazo hata kama zinafanana na za muajiriwa poa tu ila mradi muajiri anataka kazi zake zifanyike. Wafanyakazi kama milard ayo wana mishe zao zinazofanana na mwajiri lakini bado wanapiga kazi za bosi wao na bosi wao mkuu hana noma anaona fresh tu. Makampuni mengine wakiiga mtindo wa clouds media watafika mbali sana kimafanikio
 
Back
Top Bottom