Hongera Joshua Nassari sasa ni usingizi bila chupi

kuchangumu

JF-Expert Member
Apr 2, 2014
724
290
ImageUploadedByJamiiForums1402163295.512418.jpg big up kamanda!
 
Vipi? ni huo usingizi bila ch**u**p**i, hio ndo hali halisi. Na ataanza usiku huu!:der:

Jamaa anataka kuaminisha watu kuwa chupi ni matusi hahaha..wakati leo ametoka kununua
Hongera kamanda nassari we ni wa kiume
 
Collando royce rolls range mara Mercedes benzi wkt msela kabwela kambaja nani kwetu uswahili temekeee mikoroshini wkt mtoto mambo ya madiko diko pensheni juice embe miwa kolonya laini laini na vyapati vyapati.
 
Zitto na Mnyika wanangoja nini? Nashauri Mnyika alazimishwe kukamilisha hili swala haraka, sababu zitto alikuwa anaakili nzuri tu, matatizo yalianza alipoanza kupewa majimama na ma-ccm.

safi sana dogo. you are grown up now.
 
Wamependeza saaaaaaana...! Hongera zao na maisha mema ya ndoa..!
 
Hongera zake huyo chalii amefanya uamzi wa maana sana. Sijui mimi nasubiri nini jamani ngoja nimpgie simu mchumba angu haiwezekani uchumba gani huu wa zaidi ya miaka 9!? Mmmh???
 
Zitto na Mnyika wanangoja nini? Nashauri Mnyika alazimishwe kukamilisha hili swala haraka, sababu zitto alikuwa anaakili nzuri tu, matatizo yalianza alipoanza kupewa majimama na ma-ccm.

safi sana dogo. you are grown up now.

Hahaha kama waolewaji hawapo waoe tuu ama
 
Back
Top Bottom