Hii thread ingejadiliwa vizuri kwenye jukwaa la uchumi, huku imevamiwa na wanaharakati na kupoteza mwelekeo.
Somo moja naliona hapa, Watanzania inabidi tuvue miwani ya giza kuona hapa tulipo kama 'strength' na hii tuitumia kama msingi kurekebisha mapengo na kupiga hatua mbele. Lakini wengi wetu tunatafuta zaidi kasoro na kuzishangilia kama kwamba tulipanga kushindwa kabla hatujaanza safari.