Hongera jeshi letu pendwa la polisi

Wale,wale waathirika wa propaganda za chama,hawajijui hawajitambui-damaged beyond repair kusikia hawasikii,kuona hawaoni. Kwao la heri ni shari na la shari ndio heri/Bure kabisa!
 
Napata shida sana kumwelewa huyu mtu kwamba ana joke au yupo serious!!??Kama ni jokes umekosea jukwaa ila kama ni serious watu wenye akili kama wewe kule china wananyongwa hadharani maana ni virus kwa jamii.Uarabuni unapigwa mawe mpaka ufe na Marekani unapigwa sindano ya sumu Ulaya unauwawa kwa shoti ya umeme.Watanzania wazalendo wenzangu kazi ya ukombozi si ndogo ukizingatia na akili za ndugu zetu kama hawa yatupasa kukaza buti kwelikweli.
 
Back
Top Bottom