kamtu33 JF-Expert Member Mar 15, 2012 999 405 May 20, 2012 #1 Wana jf heshima kwenu!... nianze kwakusema hodiiiiiiiiii..... k wenye hii forum. mimi c shabiki ila nawapongeza sana :A S 41:
Wana jf heshima kwenu!... nianze kwakusema hodiiiiiiiiii..... k wenye hii forum. mimi c shabiki ila nawapongeza sana :A S 41:
Sinkala JF-Expert Member Dec 22, 2008 1,773 684 May 20, 2012 #2 Jana CHELSEA walibeba kombe la UCL 2012. Na hao wengine CHERSEA wapewe hongera za nini?
Rogie JF-Expert Member Nov 22, 2010 7,581 6,675 May 20, 2012 #3 Hv huwa hamuoni ht maneno/majina yanavyoandikwa..
Arvin sloane JF-Expert Member Jul 18, 2011 996 203 May 20, 2012 #6 We mkurya nini chersea??? we noumer.
mtamanyali JF-Expert Member Dec 6, 2011 1,161 613 May 20, 2012 #7 jamani hiyo chersea ndiyo timu gani mbona mm ndio leo naisikia, imefanya nn la ajabu? naomba wanajamvi mnisaidie
jamani hiyo chersea ndiyo timu gani mbona mm ndio leo naisikia, imefanya nn la ajabu? naomba wanajamvi mnisaidie