Honestly, Hakimu Mkuu Simba amekuwa 'fair' sana kwa Mhe. Mbowe na wenzake

Ilikuwa ni batili hata kuwaza tu kuwa wako hatiani(Void ab initial). Waliingiaje hatiani kwa kutembea kwenda ofisi ya mkurugenzi kudai viapo vya mawakala wao? Mkurugenzi angetimiza wajibu wake haya yangetokea? Nilikuwa napenda sana kusoma hukumu za kina jaji Luanda, Augustino Ramadhani nk lakini siku hizi hata sijui mahakama za chini zitakuwa zinatoa hukumu kwa presidencies zipi. In short our judiciary system has corrupted.
Kuna mengi mno yakujiuliza mkuu how mens rea was proved beyond reasonable dought
Sawa actus reus ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo mwanzoni, natoa pole kwa viongozi wote wa CHADEMA na mwanachama mmoja wa CCM ambao jana wamehukumiwa kwenda jela au kulipa faini baada ya kukutwa na hata kwenye mashtaka ya jinsi yaliyokuwa yakiwakabili Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.

Mashtaka yao yalikuwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo Mheshimiwa Thomas Simba. Baada ya miezi kadhaa ya kusikilizwa kwa shauri hilo, hatimaye jana hukumu ilisomwa. Kimsingi, washtakiwa wote walikutwa na hatia kwa makosa 12 kati ya 13 waliyokuwa nayo. Walinusurika kwa shtaka moja tu la kula njama.

Baada ya kukutwa na hatia, washtakiwa wote walipaswa kutoa shufaa zao ili kupunguza ukali wa adhabu. Kazi kubwa na ya weledi mkubwa ilifanywa na Wakili Msomi Peter Kibatala katika kuwasilisha shufaa kwa niaba ya washtakiwa waliokuwa wateja wake.

Kwangu mimi, Mheshimiwa Simba namuona kama Hakimu aliyekuwa fair sana jana. Aliyafanya maisha ya washtakiwa wote kuwa angalau rahisi. Kitendo cha kuweka alternative ya kifungo na kulipa faini kwa kila kosa ni kitendo cha kiungwana na kuonyesha kuwa huko fair. Haikuwa lazima kuruhusu faini kwa kila kosa.

Najua kuwa washtakiwa wote wana haki ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya jana. Lakini, naamini kuwa Hakimu Simba amekuwa fair vya kutosha.
yeah right.. alikuwa fair kwa mashitaka haramu!
 
Mkuu Mselewa, Msomi, naomba unisaidie kuelewa mambo mawili. Mosi, Hivi kwamba CHADEMA walinyimwa haki ya msingi ya kushiriki uchaguzi, kwa kutopewa zile nyaraka za mawakala, na kwamba jitihada zote walizofanya hazikufanikiwa, haina uzito wowote katika kesi hii?
Halafu pia, viwango vya faini hupangwa kikanuni, au ni uamuzi wa hakimu?
Ahsante sana mkuu
 
Tumshukuru tu traitor Mashinji kwenda upande ule kwa siasa za sasa viongozi 7 wa CHADEMA waliobaki wangeozea jela .
Kwa kweli hakuna fairness yeyote. Hilo ulivyoliweka wengi wetu hawalioni lakini uko 100% correct ingekuwa ajabu sana wamsweke lupango Mashinji, badala yake hiyo "au" ikatumika lakini ikiendana na faini za ajabu ajabu, ambazo zina nia ya kuwakomoa Mbowe and Company. Hata kwa mbunge 30-70M si hela ndogo.
 
Mwanzo mwanzoni, natoa pole kwa viongozi wote wa CHADEMA na mwanachama mmoja wa CCM ambao jana wamehukumiwa kwenda jela au kulipa faini baada ya kukutwa na hata kwenye mashtaka ya jinsi yaliyokuwa yakiwakabili Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.

Mashtaka yao yalikuwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo Mheshimiwa Thomas Simba. Baada ya miezi kadhaa ya kusikilizwa kwa shauri hilo, hatimaye jana hukumu ilisomwa. Kimsingi, washtakiwa wote walikutwa na hatia kwa makosa 12 kati ya 13 waliyokuwa nayo. Walinusurika kwa shtaka moja tu la kula njama.

Baada ya kukutwa na hatia, washtakiwa wote walipaswa kutoa shufaa zao ili kupunguza ukali wa adhabu. Kazi kubwa na ya weledi mkubwa ilifanywa na Wakili Msomi Peter Kibatala katika kuwasilisha shufaa kwa niaba ya washtakiwa waliokuwa wateja wake.

Kwangu mimi, Mheshimiwa Simba namuona kama Hakimu aliyekuwa fair sana jana. Aliyafanya maisha ya washtakiwa wote kuwa angalau rahisi. Kitendo cha kuweka alternative ya kifungo na kulipa faini kwa kila kosa ni kitendo cha kiungwana na kuonyesha kuwa huko fair. Haikuwa lazima kuruhusu faini kwa kila kosa.

Najua kuwa washtakiwa wote wana haki ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya jana. Lakini, naamini kuwa Hakimu Simba amekuwa fair vya kutosha.
So, you have accepted the magistrate to criminalise all campaigning process?
 
Petro E. Mselewa

..range ya kifungo kwa makosa waliyohukumiwa ni ipi?

..pia range ya faini kwa makosa yao ni ipi?

..Je, ktk hukumu yake hakimu ame-acknowledge na kuzingatia kuwa maandamano ya CDM yalitokana na kunyimwa kwao viapo vya mawakala wao ktk uchaguzi mdogo?
 
Mwanzo mwanzoni, natoa pole kwa viongozi wote wa CHADEMA na mwanachama mmoja wa CCM ambao jana wamehukumiwa kwenda jela au kulipa faini baada ya kukutwa na hata kwenye mashtaka ya jinsi yaliyokuwa yakiwakabili Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.

Mashtaka yao yalikuwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo Mheshimiwa Thomas Simba. Baada ya miezi kadhaa ya kusikilizwa kwa shauri hilo, hatimaye jana hukumu ilisomwa. Kimsingi, washtakiwa wote walikutwa na hatia kwa makosa 12 kati ya 13 waliyokuwa nayo. Walinusurika kwa shtaka moja tu la kula njama.

Baada ya kukutwa na hatia, washtakiwa wote walipaswa kutoa shufaa zao ili kupunguza ukali wa adhabu. Kazi kubwa na ya weledi mkubwa ilifanywa na Wakili Msomi Peter Kibatala katika kuwasilisha shufaa kwa niaba ya washtakiwa waliokuwa wateja wake.

Kwangu mimi, Mheshimiwa Simba namuona kama Hakimu aliyekuwa fair sana jana. Aliyafanya maisha ya washtakiwa wote kuwa angalau rahisi. Kitendo cha kuweka alternative ya kifungo na kulipa faini kwa kila kosa ni kitendo cha kiungwana na kuonyesha kuwa huko fair. Haikuwa lazima kuruhusu faini kwa kila kosa.

Najua kuwa washtakiwa wote wana haki ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya jana. Lakini, naamini kuwa Hakimu Simba amekuwa fair vya kutosha.
Mmoja kati ya wanasheria wa hovyo ni mtoa mada,alisoma sheria si sababu ana kipaji, bali kwa ujanja ujanja tu na kuibia majibu
 
Mwanzo mwanzoni, natoa pole kwa viongozi wote wa CHADEMA na mwanachama mmoja wa CCM ambao jana wamehukumiwa kwenda jela au kulipa faini baada ya kukutwa na hata kwenye mashtaka ya jinsi yaliyokuwa yakiwakabili Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.

Mashtaka yao yalikuwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo Mheshimiwa Thomas Simba. Baada ya miezi kadhaa ya kusikilizwa kwa shauri hilo, hatimaye jana hukumu ilisomwa. Kimsingi, washtakiwa wote walikutwa na hatia kwa makosa 12 kati ya 13 waliyokuwa nayo. Walinusurika kwa shtaka moja tu la kula njama.

Baada ya kukutwa na hatia, washtakiwa wote walipaswa kutoa shufaa zao ili kupunguza ukali wa adhabu. Kazi kubwa na ya weledi mkubwa ilifanywa na Wakili Msomi Peter Kibatala katika kuwasilisha shufaa kwa niaba ya washtakiwa waliokuwa wateja wake.

Kwangu mimi, Mheshimiwa Simba namuona kama Hakimu aliyekuwa fair sana jana. Aliyafanya maisha ya washtakiwa wote kuwa angalau rahisi. Kitendo cha kuweka alternative ya kifungo na kulipa faini kwa kila kosa ni kitendo cha kiungwana na kuonyesha kuwa huko fair. Haikuwa lazima kuruhusu faini kwa kila kosa.

Najua kuwa washtakiwa wote wana haki ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya jana. Lakini, naamini kuwa Hakimu Simba amekuwa fair vya kutosha.
Kiukweli ile ruling imeandikwa na Jaji Kiongozi Feleshi (Msukuma, kumbuka Nchi yatawaliwa na Wasukuma) na RM Simba wa Kisutu amepewa kusoma tu.

Yale mashtaka ukisoma kwa makini na ukifuatilia ushahidi wa kesi uliotolewa, hakuna hata kosa moja ambalo limethibitishwa kwa ushahidi.

Waliofanya makosa ni waliomuua Akweline Akwilina ambao inajulikana ni Polisi. Hawajachulukiwa hatua. Ila hawa akına Mbowe wamepewa mashtaka ya kumbakiza ambayo hata ukifuatilia ushahidi unaona kuwa ni wa kupanga.
 
Wat about mkurugenzi aliesababisha watu kuandamana na askari aliefyatua risasi!??
 
Kiukweli ile ruling imeandikwa na Jaji Kiongozi Feleshi (Msukuma, kumbuka Nchi yatawaliwa na Wasukuma) na RM Simba wa Kisutu amepewa kusoma tu.

Yale mashtaka ukisoma kwa makini na ukifuatilia ushahidi wa kesi uliotolewa, hakuna hata kosa moja ambalo limethibitishwa kwa ushahidi.

Waliofanya makosa ni waliomuua Akweline Akwilina ambao inajulikana ni Polisi. Hawajachulukiwa hatua. Ila hawa akına Mbowe wamepewa mashtaka ya kumbakiza ambayo hata ukifuatilia ushahidi unaona kuwa ni wa kupanga.
Nafikiri kosa la viongozi hawa sio kuua na ingekuwa ndo kosa lao wasingelipa hata hiyo faini. Sheria sheria jamani tunaoweza kusoma shule tuongeze na sheria .
 
Mwanzo mwanzoni, natoa pole kwa viongozi wote wa CHADEMA na mwanachama mmoja wa CCM ambao jana wamehukumiwa kwenda jela au kulipa faini baada ya kukutwa na hata kwenye mashtaka ya jinsi yaliyokuwa yakiwakabili Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.

Mashtaka yao yalikuwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo Mheshimiwa Thomas Simba. Baada ya miezi kadhaa ya kusikilizwa kwa shauri hilo, hatimaye jana hukumu ilisomwa. Kimsingi, washtakiwa wote walikutwa na hatia kwa makosa 12 kati ya 13 waliyokuwa nayo. Walinusurika kwa shtaka moja tu la kula njama.

Baada ya kukutwa na hatia, washtakiwa wote walipaswa kutoa shufaa zao ili kupunguza ukali wa adhabu. Kazi kubwa na ya weledi mkubwa ilifanywa na Wakili Msomi Peter Kibatala katika kuwasilisha shufaa kwa niaba ya washtakiwa waliokuwa wateja wake.

Kwangu mimi, Mheshimiwa Simba namuona kama Hakimu aliyekuwa fair sana jana. Aliyafanya maisha ya washtakiwa wote kuwa angalau rahisi. Kitendo cha kuweka alternative ya kifungo na kulipa faini kwa kila kosa ni kitendo cha kiungwana na kuonyesha kuwa huko fair. Haikuwa lazima kuruhusu faini kwa kila kosa.

Najua kuwa washtakiwa wote wana haki ya kukata rufaa dhidi ya hukumu ya jana. Lakini, naamini kuwa Hakimu Simba amekuwa fair vya kutosha.
Wewe nilikuwa nakuona ona kwenye nyuzi za kisheria nikiamini kuwa una ueledi kwenye fani hiyo kumbe hukufaa hata kuitwa bushiloya!
Hakuna Cha hakimu kuwa fair kwani kahukumu kwa jinsi Sheria inavyojieleza hivyo usimpaishe huyo mwinda ujaji hapa!
 
Back
Top Bottom