Honda CRV for sale

Mathias

Senior Member
Apr 22, 2009
118
12
Honda CRV- RD1, Color: Metallic Silver, Registered and used in Tanzania
Options: Power steering, Power windows, Power mirrors, Auto-Air conditioning, Stereo CD/MD, Central locking / Keyless, Roof rails, Open roof, Good condition self driven!
Price: 10 million Tsh
Call: 0713 440624, Email: mathiasigulu@gmail.com, No agent!
 
Attachments

  • DSC00564.JPG
    DSC00564.JPG
    22.7 KB · Views: 147
  • DSC00565.JPG
    DSC00565.JPG
    24.4 KB · Views: 162
  • DSC00569.JPG
    DSC00569.JPG
    17 KB · Views: 168
  • DSC00570.JPG
    DSC00570.JPG
    15 KB · Views: 180
  • DSC00566.JPG
    DSC00566.JPG
    20.1 KB · Views: 139
Please tueleze ni ya mwaka gani na imetembea kilometre ngapi mpaka!!1

Tiba
 
Please tueleze ni ya mwaka gani na imetembea kilometre ngapi mpaka!!1

Tiba

Mkuu niya 1997
Kwa hivi sasa ina km 105894, toka nimenunua (2005) nimeshaitembelea takribani km 40000. Ipo barabani natembelea mwenyewe ni Dar tu.
 
hizi gari ni verry expensive kurun, nadhani ndio maana unaiuza, mafuta inakula sana, hata vipuli vyake ni ghali sana, tafuta mtu umbambikie mkuu, litakufilisi hilo
 
hizi gari ni verry expensive kurun, nadhani ndio maana unaiuza, mafuta inakula sana, hata vipuli vyake ni ghali sana, tafuta mtu umbambikie mkuu, litakufilisi hilo

Mwenzio ana market kitu yake, wewe unatia mchanga............watu bana! Gari yoyote kwa taarifa yako kama hujui kuitunza vizuri itakufafuna sana mzee!
 
hizi gari ni verry expensive kurun, nadhani ndio maana unaiuza, mafuta inakula sana, hata vipuli vyake ni ghali sana, tafuta mtu umbambikie mkuu, litakufilisi hilo

Katika gari zinazokula mafuta vizuri ni Honda CVR, pia spea zake ni genuine, ukiweka spea hesabu miaka. Ni kweli spea kipindi cha nyuma spea zilikuwa shida kwa sababu gari zilikuwa chache,lakini sasa hivi gari ni nyingi na spea zipo.Mimi nina honda ya mwaka 1998, milleage ni kama hizo sijaona tatizo la mafuta kabisa.kama pesa yako unategemea mshahara wa laki mbili mpaka tano huwezi kuendesha gari, utaiba bure au nunua bajaji.Honda tuzungumzie watu wenye kipato,na gari yoyote kama alivyochangia mwenzetu pale juu,inaitaji matumzo sio unanunua gari unavisenti vya laki mbili au unategemea vimishara vya hajabu utanunua na kuuza kila mara.HONDA POA KABISA,
 
Nimekusomaa jombaa!!! mimi mwenyewe nina mitsubish IO. nasikia maneno sana kwa watu ooh!! hizi gari vimeo lakini kaka nakula nayo maisha tu na iko sawa sana!!!!!
 
hizi gari ni verry expensive kurun, nadhani ndio maana unaiuza, mafuta inakula sana, hata vipuli vyake ni ghali sana, tafuta mtu umbambikie mkuu, litakufilisi hilo

Talk about jumping on the band wagon based on hearsay. With pump prices between TSh 1350 and TSh 1600 there or there abouts, owning any machine that uses petrochemicals is expensive.

For what its worth, i had the pleasure of selling a similar Honda a few months back na to show it around I was left in a week long possession of the vehicle by the owner. It was a smooth ride, it handled exceptionally well and on tarmac and a slow wing, it drove like a sedan. The 1997 CR-V manual that came with the car indicated a highway consumption rate of about 11.8L/100km and a slightly worse fuel use for in town driving, but for an 11 year old plus motor, I worked out the consumption to be at around 12.5L/100km at 80-100 km/h.

It was also the roomiest mini SUV made before 2004 that I have seen in a long while, the wheel base certainly looked longer than that of its Rav4 and Suzuki rivals.

The only downsides to the car was the power. It was severely underpowered, meaning that it took its time to reach desired speed. Another "potential" pitfall is the independent suspension at both the front and the rear. However, the vehicle appeared to be light enough to warrant such a "soft" axle and suspension setup.

Lastly, HONDA engines have in time proved to be extremely reliable so barring deliberate neglect I doubt kama litakulaza njiani.
 
Wakuu nimewapata
Kwa ujumla HONDA ni gari nzuri, nimekuwa nayo mda mrefu sasa na sijawahi kupata matatizo kabisa. Gari yoyote ni matunzo, hakuna cheap car! Engine yake ni less 2000cc, you can compare with any car of the same capacity simple! "Patpending" ametoa data nzuri ya fuel consumption nakubaliana nae.
"Gudboy" Cheap things are expensive,mfano mzuri ni hizi simu za wachina, unanunua na unapewa betri mbili, they dont even last 4hr talking! Na nafikiri ukikaa nayo mwaka mmoja una bahati, itakubidi ununua nyingine mahesabu mepesi kwa mwaka utanunua ngapi nikuache ufanye mahesabu mwenyewe! Sina uhakika na kinga ya mionzi kutoka kwenye simu hizi, lakini nisingependa kulisemea.
Mkubwa Gudboy, ushauri wa bure, always go for something you can afford, kama huwezi ni vizuri kunyamaza, Ila nashukuru kwa mchango wako!
 
Jamaa yaangu nasikia kakuoffer 7.5mil umemtosa? Unaweza kujakuuza below that mzee au uamue kutouza for now......!
 
Nimekusomaa jombaa!!! mimi mwenyewe nina mitsubish IO. nasikia maneno sana kwa watu ooh!! hizi gari vimeo lakini kaka nakula nayo maisha tu na iko sawa sana!!!!!
teh teh teh we kula chako tu...
 
hizi gari ni verry expensive kurun, nadhani ndio maana unaiuza, mafuta inakula sana, hata vipuli vyake ni ghali sana, tafuta mtu umbambikie mkuu, litakufilisi hilo
kwa mambo kama haya maendeleo hayaji ng'oooooo...
 
Back
Top Bottom